One night stand

hiyo ina raha yake na machungu yake mi mwenyewe yalisha nikuta na naumia sana jmaa aliye muoa ni jirani yangu! na mchango niltoa kufika kwenye harusi sikuamini macho yangu ninacho kiona mbele,maana nakumbuku nilimtafuta sana, kwa mchezo aliumudu vema na mpaka leo jmaa namuonea wivu sana maana najua anfaidi sana.

Kukumbushia ruksa lakini hakikisha jamaa hawaoni.
Mahawala huwa hawaachani
 
Hahahaha mpwa umeadimika sana, vp tena umetangaza NIA?

nimetangaza nia sema jimbo langu lina mavuvuzela kibao mpwa.....vipi naona bilicana huendi tena....si uwe unatembea na baunsa sasa? LOL
 
Unalala usiku uliobakia hapo kwake na unamega. Kesho asubuhi yake mnaamka anakutengenezea kifungua kinywa, mzee unatia ndani halafu unatimua.

Njiani mwenyewe unajiona biiingwa...unaanza kutabasamu tu peke yako. Baadaye mnawasiliana wasiliana lakini mwasiliano yanakuwa hafifu mwishowe mnaacha kabisa kuwasiliana. Baadaye miaka kadhaa mnakuja mnakutana....mwenzio keshamaliza shule ya udaktari na sasa ni resident doctor kwenye hospitali kubwa tu. Unajisemea kimoyomoyo....duh! nimemega pale...it was a one night stand...
hehehehehe!
 
dah one night stand............. pombe soo huh!! nakumbuka niliishia pabaya lol!!:drum:
 
nimetangaza nia sema jimbo langu lina mavuvuzela kibao mpwa.....vipi naona bilicana huendi tena....si uwe unatembea na baunsa sasa? LOL

Hahahaha mpwa siku hizi club mm siendi nakesha tu grocery kwa mama Chuchu.
Nimesha pata baunsa tatizo lake moja tu kajazia kifua tu.
 
hommie hapo pabaya ndo pepi?:rofl:
Si unajua tena hommie baada ya minjonjo sie haooo kwa demu asee kumbe demu mwenyewe anaishi sijui na bro au jamaa.....yaani tifu lilipoaanza :A S 20:mie huyooo ya nini malumbanoo:drama:!! mpaka leo sijui yupo wapi!!
 
Hommie shukuru hukutoka na ngeu!
 
Back
Top Bottom