Once a cheater always a cheater...!

Once a cheater always a cheater...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Matukio ya kufumaniwa yamekuwa ni kama kitu cha kawaida sana, kuna sababu nyingi sana zinazowafanya watu wawe wadanganyifu kwenye mahusiano yao na wanaume wakiwa ndio vinara

Unafumaniwa na mkeo au mpenzi wako, unajitetea kwa kusema ni shetani tu alikupitia au hii ndio mara yangu ya kwanza mkewangu mpenzi naahidi sitorudia tena au ilikuwa bahati mbaya tu au alinilazimisha hii mara nyingi ni kwa wanawake

Lakini nakuambia ukimfumania mpenzi wako au mume/ mke wako ujue ndio mchezo wake na hiyo ni kama ile methali isemayo za mwizi ni arobaini

Unaweza ukamsamehe na maisha yakasonga lakini jua wazi kuwa once a cheater always a cheater..!!!!!
 
^^
Mapenzi yamepatwa na vita ya tatu ya usaliti
^^
 
unataka kusema hakuna mtu anaebadilika?? Nguvu zinazotumika kushauri watu namna ya kuacha usaliti ni bure? Walioacha wakishukiwa na Roho Mtakatifu?
 
Sasa hivi imefika kipindi, "mke wa mtu analiwa na mume wa mtu" na kinyume chake
 
unataka kusema hakuna mtu anaebadilika?? Nguvu zinazotumika kushauri watu namna ya kuacha usaliti ni bure? Walioacha wakishukiwa na Roho Mtakatifu?

Ni mmoja kwa kumi au pengine kwa mia
 
unataka kusema hakuna mtu anaebadilika?? Nguvu zinazotumika kushauri watu namna ya kuacha usaliti ni bure? Walioacha wakishukiwa na Roho Mtakatifu?
Mapi ni wachache mno!! Ni mmoja katika ya kumi au pengine hata mia kabisa
 
Msingi kiuno. Hahaha wa mbili havai moja. Why on earth would you trust your partner?
 
I agree with you. Nikama mtu anaepiga mwanamke hawezi kuacha labda kwa miujiza ya Mungu. Inakuwa hivi....anacheat.....anaomba msamaha......anakubaliwa.......wanakuwa na furaha........anacheat tena. Na hata wanapiga inakuwa hivyohivyo.....anakupiga.....anaomba msamaha......unamsamehe.......mnakuwa kwenye furaha.....anakupiga tena. Inabidi kujiondoa kwenye circle tu. Halafu hao majitu ya hivyo yanajua kuomba msamaha hatari
 
Yupo wapi asiye cheat? Ukijiondoa amua kubaki towashi, la sivyo utabadili mpaka kifo kikutenganishe!
 
Back
Top Bottom