Acheni uchwara hii sio ukawa bhana ..
Ww umekaa huko chanika unaongea mambo ya USA wakat maneno yako Trump mwenyew anaona sawa na kelele za ngedere ..
Hivi unaakili kweli? Ww ambaye hata njiti ya kibiriti imekushinda kutengeneza unatoa ushauri kwa watu wanaoplan kwenda kuishi mars? Ajabu sana .. Acha ungumbaro kijana
Hujielewi wewe unafikir mwanasayansi bila siasa safi unafikir kutakuwa na mafanikio?Hahah nani anaplan kwenda kuishi Mars? huyo Clinton? Usichanganye Wanasayansi na Wanasiasa!
Au kwa sababu ni Mwanasiasa wa USA ndiyo unafikiri ni mtu intelligent? Hata wewe pia ungezaliwa USA ukapata mtu wa kukuback kama vile Wall street ili uje uwatimizie malengo yao wangekuchukuwa pia!
Mwanasiasa ni kama day worker tu na haijalishi ni wa wapi tena bora hata wa Afrika angalau anaamua mwenyewe lkn hao wa Kizungu ndiyo wamejiriwa tu na finance indutry!
Hujielewi wewe unafikir mwanasayansi bila siasa safi unafikir kutakuwa na mafanikio?
Tanzania kila siku tunailaumu ccm kwa kutokiw na hata kiwanda cha baiskeli unafikir ni kwanini? Kweli ww nyumbu
Unajua nilikuwa nataka kumuuliza Barbarosa anaishi nchi gani.ya ngoswe tuwaachie akina ngoswe wenyewe
Najua we mtanzania kwahiyo huna undugu wowote na trumpAcha kunihukumu, haunijui!
Anajipendekeza kwa Trump..Clinton Ndo Rais wa Dunia Ajayewewe ya ccm yamekushinda utawawezea wapi hawa....unadhani huko kuna uswain wa lumumba""""""""""""""""
Ataishia kumtazama kwenye videoAnajipendekeza kwa Trump..Clinton Ndo Rais wa Dunia Ajaye
Hillary Clinton Verified account @HillaryClinton
This is horrific. We cannot allow this man to become president.
Haya ni maneno ktk kwa Mpinga Kristo Hillary Clinton akiongelea kuhusu video ya D.Trump iliyotolewa kuhusu Wanawake!
Hillary anasema kwamba hawawezi kumuacha mtu kama D.Trump kuwa Raisi wa USA, hivi kati ya D.Trump na Mume wake Bill Clinton ni yupi devil?
Bill Clinton alinyonywa uume live kwenye USA White House (Oval Office), alitembea na Wanawake kibao tena ndani ya Ikulu lkn Hillary Clinton leo hii anasema kwamba Trump hafai kuwa Raisi kwa sababu ya maneno yanayosadikiwa kusemwa mwaka 2004?
Kama kweli watu wa USA watamuamini huyu mpinga Kristo Clinton na kumchagua basi, lile jahazi la USA lililokwishaanza kuzama tangu mpinga Kristo Obama litaishia kabisa, kwa maana laana ya Mungu iliyoletwa na Obama na Clinton kwa kumuua Gadafi inawaandama na itaendelea kuwaandama!
Duh! Hivi miaka ya 1400 Africa au tz ilikuwa haipo kwenye ulimwengu?Wewe ndiyo haujielewi, unafikiri Wazungu ni Superhuman? Ninyi ndiyo mnaouza nchi mkiona Mzungu tu basi mnababaika na kumkabidhi kila kitu!
Wazungu kama sisi tu wana matapeli, wezi, wala rushwa, vile vile wana watu wazuri, wachapa kazi n.k. tofauti ya USA na TZ ni muda tu, TZ yetu ina miaka 50 tu, wakati Bara la Marekani Wazungu walianza kuishi tangu miaka ya 1400 huko Columbus alipokanyaga, hata hivyo ni nje ya Mada!
Mpumbavu wwAcha kunihukumu, haunijui!
Duh! Hivi miaka ya 1400 Africa au tz ilikuwa haipo kwenye ulimwengu?
Ona unavyojidhirihisha ujinga wako kinachokuaminisha kwamba Hilary Clinton hafai na Trump anafaa ni kipi?
Ww unayeishi yombo kwa dadaako akiwa ameolewa unataka kuniambia unaijua USA kuliko raia wenyewe?
Ww hakuna unachokijua bali ni ushabiki uchwara uliokuandama.Inawezekana nikawa naijua USA kwa kiasi fulani klk raia hata baadhi ya raia wa USA, cha ajabu ni kipi hapo?
Mbona wao Wazungu wanaoingolea Afrika na hata kupanga policy na wakati mwingine hata kuchagua Viongozi wa Afrika wkt hata hawajtia mguu Afrika? Mbona hilo hulilalamikii? Iweje uone ajabu mimi Mwafrika kujua mambo ya USA? Isitoshe ni kipi cha USA kisichojulikana Dunia hii?
Ww hakuna unachokijua bali ni ushabiki uchwara uliokuandama.
Watu kama nyinyi ndio mazuzu duniani hapa
Ngoja nikuache juhaNi kweli hakuna ninachokijua ukilinganisha na complexities ya mambo ya Dunia, vinginevyo ningeshatatua matatizo ya hii Dunia!
Unajua nilikuwa nataka kumuuliza Barbarosa anaishi nchi gani.
Mtu anamshambulia Hillary Clinton kwa sababu mum wake kafanya ufuska, wakati anamuacha Donald "Grab them by the pussy" Trump?
Wwanyamwezi wenyewe tumetulia tu, tunajua safari hii tumeula wa chuya kwa miaka minne no matter anashinda nani.
Uchaguzi wa rais wa kuangaliwa sasa ni wa 2020.
Na wote wawili hawa, hakuna atakayepita.
Kwa sasa tunaingia kipindi kinachoitwa "interregnum"
interregnum
[in-ter-reg-nuh m]
See more synonyms on Thesaurus.com
noun, plural interregnums, interregna
[in-ter-reg-nuh] (Show IPA)
1.
an interval of time between the close of a sovereign's reign and theaccession of his or her normal or legitimate successor.
2.
any period during which a state has no ruler or only a temporaryexecutive.
3.
any period of freedom from the usual authority.
4.
any pause or interruption in continuity.