Ona hii ya waziri wa fedha Zimbabwe

Ona hii ya waziri wa fedha Zimbabwe

Inawezekana hata bwana mipango na yeye kazificha nyumbani kwake ndio maana vyuma haviachii.
 
Inawezekana kabisa ni uzushi ila kwa kuweka uzi kama huu JF mara nyingi ukweli hujulikana kwakuwa JF haiongopi
Ahsante sabbu umekuwa muungwana kwa hilo..nilidhani una uhakika nalo.
kuhusu waziri nimeona pia kwenye vyombo vingine vya habari ila sina hakika na hiyo picha kama ni yake ama laah, japo pembeni yake naona kuna askari hizo gwanda zinafanana na za wanajeshi wa hapa Malawi (MDF..) sidhani kama ni za ZDF.
Waungwana walio na ujuzi zaidi watanikosoa kwa hilo..
pia jina Mr Chombo.. linashabihiana na yule aliyekuwa anashikiria nafasi ya umakamu wa rais baada ya Mr E. Mnangagwa. Kuondoka sijui kama ni huyo huyo au kuna mwingine..
 
Hiyo picha ni ya mwaka gani? Mbona imekuwa kwenye mitandao mbali mbali tangu mwaka jana ikiwa na vichwa habarishi tiofauti tofauti.

Pichani ndiye waziri wa fedha wa Zimbabwe aliyeshitakiwa kwa rushwa na uchafu mwingine mwingine kibao. Anaitwa Ignatius Chombo
Just google kwa habari kamili sio picha hizi za Mshana Jr.

c1698f7e4a1621b6cc6eb17a9ecd6fb8.jpg
 
ndiyo yakina Masamaki na wenzake TRA
Kamishna Masamaki wa TRA ameshinda kesi, muacheni apumzike.

Source

%255BUNSET%255D

Kila siku narudia kusema, prosecutor wa Tanzania hana uwezo, hana weledi, wa kukusanya evidence, kuzi present mahakamani na kushinda kesi ya white color crime. Hawawezi.

Anachofanya prosecutor, anakukamata anakwambia toa ushirikiano, which is to say kubali makosa. Ukitoa ushirikiano bado unafungwa vile vile, kwa sababu Tanzania hakuna plea bargain agreements. Wanategemea ukubali makosa au utaje wenzako bila kupewa nafuu yeyote. Watu hawakubali, kwa nini ukubali?

Prosecutor anakua kakwama, hana evidence, hana ujuzi, hana jinsi, anapandwa hasira anakutundika kosa la kutakatisha, halina dhamana, unaoza jela indefinately, ndio kakufunga hivyo. Kitilya wa TRA, Singasinga Sethi na Rugemalila wa IPTL, Ringo Tenga na Peter Noni wa 6Telecoms, wakili Mwalle wa Arusha, to name but a few. Wakili Mwalle mwaka wa saba huu mahabusu Kisongo, eti kakutwa na ukwasi mkubwa kwenye akaunti, lazima katakatisha. Hawana uwezo wa kufunga mtu kwa sheria zilizonyooka. Nani kafungwa na Magufuli kwa kushindwa kesi ya ufisadi, taja mmoja.
 
hizo no Zimbabwe dollar $ ? zitakua zinatosha mikate ya wiki hivi.
Pia huyu ni waziri wa fedha kwa hiyo lazima awe na fedha ziko tayari kama mama Grace akitaka kwa haraka
 
Hili pia lipo tz, wakati mkapa anamalizia mda wake kuna ofisa moja wa bot inasemekana kila jioni hurudi na box la fedha nyumbani kwake. Na hulificha ktk chumba maalum huku hakurusiwa kuingia mtu yeyote zaidi yeye na mkewe. Siku moja mke alisahau ufunguo mlangoni, hivyo baada ya kuondoka house girl alienda kudadisi kilichomo mle. Alifungua box la kwanza akakuta noti mpya zimepangwa vizuri akagundua mabox yote yamejaa hela. Alichofanya alimwita rafiki yake wa kiume akamrushia box moja tu kupitia ukutani na yeye akatoroka nae.
 
Hiyo picha ni ya mwaka gani? Mbona imekuwa kwenye mitandao mbali mbali tangu mwaka jana ikiwa na vichwa habarishi tiofauti tofauti.

Pichani ndiye waziri wa fedha wa Zimbabwe aliyeshitakiwa kwa rushwa na uchafu mwingine mwingine kibao. Anaitwa Ignatius Chombo
Just google kwa habari kamili sio picha hizi za Mshana Jr.

c1698f7e4a1621b6cc6eb17a9ecd6fb8.jpg
That's why nimekubali kukosolewa kwakuwa hata mimi sina hakika ila kupitia hapa JF itajulikana mbivu na mbichi....
 
Kamishna Masamaki wa TRA ameshinda kesi, muacheni apumzike.

Source

%255BUNSET%255D

Kila siku narudia kusema, prosecutor wa Tanzania hana uwezo, hana weledi, wa kukusanya evidence, kuzi present mahakamani na kushinda kesi ya white color crime. Hawawezi.

Anachofanya prosecutor, anakukamata anakwambia toa ushirikiano, which is to say kubali makosa. Ukitoa ushirikiano bado unafungwa vile vile, kwa sababu Tanzania hakuna plea bargain agreements. Wanategemea ukubali makosa au utaje wenzako bila kupewa nafuu yeyote. Watu hawakubali, kwa nini ukubali?

Prosecutor anakua kakwama, hana evidence, hana jinsi, anapandwa na hasira anakutundika kosa la money laundry, halina dhamana, unaoza jela indefinately, ndio kakufunga hivyo. Kitilya wa TRA, Singasinga Sethi na Rugemalila wa IPTL, Ringo Tenga na Peter Noni wa 6Telecoms, wakili Mwalle wa Arusha, to name but a few. Wakili Mwalle mwaka wa saba huu mahabusu Kisongo, eti kakutwa na ukwasi mkubwa kwenye akaunti, lazima katakatisha. Hawana uwezo wa kufunga mtu kwa sheria zilizonyooka. Nani kafungwa na Magufuli kwa kushindwa kesi ya ufisadi, taja mmoja.
Mkuu nadhani hili lilisababishwa sana na enzi za kupeana kazi kwa vimemo.! Uwezo wa watendaji wetu wengi serikalini ni mdogo ama haupo kabisa.!
nimefadhaishwa na afisa mmoja wa serikali yatu nimekutana nae mahali nje ya Nchi uwezo wake wa kujieleza ukweli ni Aibu.. unajiuliza hivi huyu aliipataje hii kazi? Hivi kiingereza kama huwezi kuongea si ongea kiswahili ueleweke?
afisa mzima unatetemeka ina
powasilisha mada.[emoji19]

Sishangazwi na wanaoshinda kesi mahakamani inawezekana ni wale wale akina kamlete.
 
Back
Top Bottom