Ona hii ya waziri wa fedha Zimbabwe

Ona hii ya waziri wa fedha Zimbabwe

Naomba unisamehe mkuu kwa kumsifu mwanamke mwenzangu..
Kuanzia sasa ntakuwa namsifia mama yako.. Maana ni Fundi sana
Ah hilo povu tu ila kiukweli unaboaa unamsifu huyo mtawala utadhani ni malaika badilika aise anza kufikiria atleast kutwa kuchwa uko mtandaoni kumsifu ase
 
Usishangae labda hizo pesa ni Sawa na milioni mbili au tatu hivi za kitanzania. Maana niliwahi kusoma sehemu kua ili kununua bidhaa ndogo ndogo kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani kama mkate na vinavyofanana na hivyo, mtu angehitaji kua na mpaka mamilioni kadhaa ya nchi hiyo! Wanahabari wangetusaidia kufahamu pamoja na mambo mengine thamani za pesa hizo alizokutwa nazo.
 
hizo ni dola au ni zile za madafu za mkate mmoja kwa 1bl zimbabwen shilingi
Fedha yao ilishakufa kabisa wakatumia pesa ya China, baadae dola za Marekani.

Hali ilikuwa mbaya sana.
 
Ah hilo povu tu ila kiukweli unaboaa unamsifu huyo mtawala utadhani ni malaika badilika aise anza kufikiria atleast kutwa kuchwa uko mtandaoni kumsifu ase
Jombaa hunifaham sikufaham pamoja na hayo usinilazimishe nimchukie unayemchukia ww.. Hizo ni akili za kichawi.

Utambue ya kwamba hakuna binadamu aliyemzuri kwa kila mtu wala hakuna mbaya kwa kila mtu.

Lakn nmefuta kauli kuanzia sasa ntakuwa namsifia mama yako kwa utundu wake
 
Weye wasema ila hutumii akili zako sawasawa wewe mtusi mama ila kama una mama ni sawa na umemtusi mama yako sina shaka na hilo ila badilika
 
Wanna JF naona hayupo Lakini. Kila mir anakata Uzi bila ya kufanya graffiti. Picha hii ilitoka kwenye Group ya whatsapp ikimtaja huyu bwana kama ni Mkuu wa TAKUKURU ya kule Cameroon akiwa amekamatwa na kiasi kukubwa cha fedha kabla hata haya ya Zimbabwe hawajagundua.
Namimi nimetoa huko kwa caption tofauti, ukweli itajulikana hapa
 
Aisee!!!hajui hata kama kuna majanga ya moto na vitu kama hivyo?
 
Huyu ashukur mungu yuko Zimbabwe angekuwa Tanzania angeishi kama shetani... Maana Ngosha hana masihara
Kwani chief ni kigogo gani Tanzania ameshafanywa na Ngosha aishi kama shetani zaidi ya maskini including wajane na wazee walioishia kufanywa mazombi kwa kuvunjiwa vibanda vyao kikatili pasi na huruma yoyote huku wale shetani waliotegemewa wakisubiri summary za mahakama zitende haki!!!kiswahili kina maana nyingi inaweza kuwa maana ya kuishi kama shetani nikuendelea kuishi maisha ya anasa unavyotaka ila ukishafanywa zombi wewe ni takataka na ndicho tunachokiona!wanasiasa wana tafsida sana weka mbali na watoto!
 
Mhhh...Yawezekana hata mzee 93rd hafikii hiyo hazina DAAAAMN
 
Ndio raha ya kuongozwa na babu, na nchi inakuwa shamba la babu.
 
Acha hizo mbona mwenyewe anachota hazina ili kufanya miradi yake iliyojaa ubadhirifu mkubwa na isiyo na tija kwa Taifa? Kishachota zaidi ya trillion na ushee.

Huyu ashukur mungu yuko Zimbabwe angekuwa Tanzania angeishi kama shetani... Maana Ngosha hana masihara
 
mipesa yote hiyo usikute inanunua noah moja na na chenchi inabaki ya kununua maandazi wawili.
 
Back
Top Bottom