Mkuu mshana Jr ningetamani nipate chanzo cha habari yako. Kuhusu picha ya huyo jamaa sina shaka sbbu simfahamu lakini kuhusu hizo picha za
pesa kidogo nadhani kuna walakini..
niko Lilongwe Malawi hizo picha za pesa nimeanza kuziona zikitembea kwenye mitandao ya kijamii hapa tangu mwezi october mwanzoni zikiwahusisha viongozi wa serikali wa Malawi..
pili ukiangalia muonekano wa hizo pesa ni kama Mk 1000 na Mk500 sio Dollar ama ni mchanganyiko wa Dollar na Malawi kwacha.!
sabbu nakuamini katika nyuzi nyingi unazoanzisha hapa sitaki kuamini kuwa unataka kutulisha matango pori.
kama wanaompiga brash Dr shika sasa kwa faida ya matumbo yao.