zingekuwa dolari hizo nchi ingeyumba mara 100hizo ni dola au ni zile za madafu za mkate mmoja kwa 1bl zimbabwen shilingi
Yani we ni mjinga sana na ulivyo busy kumsifu mwanaume mwenzio mbona wako wezi kibao anaishia kuwaangalia tuHuyu ashukur mungu yuko Zimbabwe angekuwa Tanzania angeishi kama shetani... Maana Ngosha hana masihara
Wanna JF naona hayupo Lakini. Kila mir anakata Uzi bila ya kufanya graffiti. Picha hii ilitoka kwenye Group ya whatsapp ikimtaja huyu bwana kama ni Mkuu wa TAKUKURU ya kule Cameroon akiwa amekamatwa na kiasi kukubwa cha fedha kabla hata haya ya Zimbabwe hawajagundua.Jeshi limekuta kiasi kikubwa sana cha fedha nyumbani kwake kuliko bankView attachment 638151waziri husika View attachment 638152View attachment 638153mtu kama huyu angependa babu atawale miaka 1000
Naomba unisamehe mkuu kwa kumsifu mwanamke mwenzangu..Yani we ni mjinga sana na ulivyo busy kumsifu mwanaume mwenzio mbona wako wezi kibao anaishia kuwaangalia tu