Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
- Kiboko cha nani? Taifa tunawalipa kutusaidia CCM na this is one of their responsibility, unamsifia mtu kwa kufanya wajibu wake?
Es!
Mbona nyie kila Uchwao hamchoki Kumsifia Mkwe.re, ina maana Mkwer.e analipwa na Magamba.- Kiboko cha nani? Taifa tunawalipa kutusaidia CCM na this is one of their responsibility, unamsifia mtu kwa kufanya wajibu wake?
Es!
Endapo ni kweli Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau alimuunga mkono Romney dhidi ya Obama na baadaye Obama aliposhinda wameendelea kushirikiana basi hii inaonyesha kuwa wenzetu wamekomaa nimesikia Netanyau akimpongeza Obama kwa kumuunga mkono katika suala la Wapalestina. Lakini pia tuliwahi kushuhudia katika uchaguzi wa kwanza na wa mbili aliyekuwa waziri wa Mambo za nje wa Marekani Collin Poweri (republican) akimuunga mkono Obama wa chama cha Demokratic
CCM wangeweza kutofautisha hilo ingewasaidia sana, haya mambo ya chama kushindwa kukemea watumishi wa serikali wanaoboronga ndio inawaharibia. Kama chama kingekuwa kinaisimamia serikali kingeweza kujitenga na kashfa nyingi za ufisadi maana umetokea serikalini lakini kutetea makada wake kunakigharimu na hakiwezi kujitenga na uchafu huo.
Sio hili la Magufuri tu bali hata la makada wa CCM(Nape, Kinana) kuwaita watumishi wa umma kwenye mikutano ya CCM ili wajieleze wamelipata wapi? Wanatumia sheria gani? Wanatumia mamlaka ipi?
- Nimeona Mkurugenzi wa CHADEMA leo akidai maelezo kuhusiana na safari ya hivi karibuni ya Waziri wa CCM Magufuli huko Kenya na kuhusika na mikutano ya kampeni za Urais huko,
- Now kwenye hilo this time CHADEMA wapo on the right side of the coin, CCM itoe maelezo ya kina as to how and why Magufuli didi that, kwa sababu ieleweke kwamba Waziri wa Jamhuri anakuwa On Duty 24 hours akiwakilisha Jamhuri sasa alikwenda huko kuwakilisha Jamhuri au CCM?
- Ni muhimu Serikali ya CCM ikatoa maelezo sasa kabla haijageuka kuwa a big deal ni ishu ndogo sana ila ikiachwa itageuka kuwa kubwa na kutuumiza CCM, so CCM let's get the facts out now!
Es!
By GeniusBrain
Ambacho mnashindwa kuelewa ni kuwa Magufuli na Odinga ni marafiki sana ambapo sasa wamekuwa kama ndugu,hata kama magufuli ni waziri wa JMT je akienda kumfanyia kampeni Odinga yeye binafsi, kipi kibaya ? acheni fitna zenu cdm na habari tulizo nazo ni kuwa kile chama rafiki cha kwenu kenya ndicho ambacho kimeonyesha wazi kuwa kinashindwa,kwa hiyo aibu yao itakuwa yenu pia. Nendeni mkajipange upya hakuna cha maana kwenye thread yako zaidi ya wivu wa kike
- Tunaishi kwa kuongozwa na Sheria za Jamhuri, Magufuli ni Waziri Masaa 24/7, kwenda kwake kwenye kampeni za siasa za Taiafa lingine kunatakiwa kutolewa maelezo ya kina na Chama chake in this case CCM, angeuliwa akiwa huko unafikiri ni familia yake tu ndio ingehitaji maelezo kutoka Serikali ya Kenya? Au Taifa zima la Tanzania lingehitaji maelezo?
- Mengine muwe mnatumia akili kidogo tu kuliko Uchama kipofu na ishu kama hizi ndio sometimes zinakuwa ni abuse of power!!
Es!
Redio uhuru haikuwa hewani muda huo,chombo chetu pekee tunachokiamini,ndio maana phd hakuelewa nini kilikuwa kinaendelea.
hii nchi ya ajabu hadi wenzetu wa kenya wanatushangaa