Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

Kuna chuo pale Airport kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250. na at least mwanafunzi anatakiwa asome min 750 Hrs Max 1500 Hrs ndipo aweze kurusha ndege na hapo ni kama haja fail item yyt kwenye hiyo course.

Look here!
Rate price per Hour 250
Hrs required 750
Excahnge rate 1USD = TZS 2315
250X2315=578,750
750×578,750= TZS 434,062,500

Mtoto wa mkulima atauza korosho.kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?
Labda kijiji kizima wamsomeshe mtu mmoja
 
ukisomea urubani mambo ya kuzunguka na bahasha kusaka ajira hayapo,ajira zinakufata zenyewe hadi mlangoni....hii ndo faida ya kusomea vitu vya "watu wachache"
Vijana wengi wamejikita kusoma gani ambazo hiziko kwenye Soko la Ajira. Soko a ajira Kwa sasa ni Medicine, utalii, airways,ualimu wa Sayansi, building and Construction, na ICT.
 
anafaa kuwa mkwe wangu, Nina Kijana kamaliza Chuo hana mchumba.

tena Mchaga wa Marangu, hawa ni kama wa-israeli.
Huyu ni Mchagga wa Kibosho. Baba yake Honest alikuwa Mwalimu, Mama Yao alikuwa Mhaya Mwalimu.Duu watu wema Sana Waliokutwa na Hofu ya Mungu. Ni walokole Wakatoliki kuikumbuka hii Familia ya Mwalimu Ngowi ni watu Wema mno.
 
Rubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Wa Old Moshi. Mmiliki wa Arusha by Night wakati Dunia ikiwa nzuri
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
hii ndege sindio iliyoanguka?
 
Miaka 18!..kwa mfumo wa Elimu yetu huyo bado yupo darasani Tena O'level!....Kama kweli huo ndio umri wake Basi Kuna possibility kubwa Sana hakusomea Nchini...nakama itakua ndio hivyo Kama Taifa itatubidi tuuwangalie upya mfumo wetu wa Elimu Nchini!... Otherwise hongera zake!

Ni binti anasoma pale Feza Girls, kaanza kusoma pale Mosswood Terminal one akiwa form four. Alivyofika form five aka anza ku accumulate masaa na sasa yuko form six keshakamilisha masaa yake kuanza kuruka mwenyewe. Ni determination ya mtoto na kama akipata support ya wazazi anakamilika. Prof Ngowi is a credible economist principal of Dar Mzumbe Campus, sitting in the board of TIC and TPSF. Nimepata bahati ya kukaa nae mara kazaa very humble and focused hivyo hushangai kuweza kumtengeneza mtoto anavyotaka kwa rehema za Mungu.
 
Tena Kwa wenzetu, urubani ni option ya mwisho Kwa waliofeli, kama ilivyo ualimu bongo.
Wachunga mbuzi mna akili fupi Sana
Unajua huyo binti kasoma wapi? Unajua alipata division ngapi?
Anyway endelea kuchunga mbuzi hapo ibadakuli
 
Back
Top Bottom