Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Huyo Omega kaajiriwa akiwa under 18 na ni kosa kisheria.
 
Nje ya mada, kwahiyo huyu ndie kitinda mimba wa prof ngowi. Natamani nimfahamu Alfa ngowi.
 
Afrika kusini unatakiwa masaa 200 ya mafunzo, ambayo inachukua kama miezi 18, na gharama ni $ 50,000.
Tusiongee vitu hewani mkuu
Screenshot_20200906-105910_Chrome.jpg
Screenshot_20200906-105700_Chrome.jpg
 
Hauko kwenye industry.
Huyo dogo anatimiza PPL ambayo ni masaa 50 max

Na gharama ndo hizo kwa Dar na Znz
Acha u much know mkuu, kwanza kwa Private Pilot Licence flight training ni sio 50 hrs ni 47 hrs. umetuongopea!!

These are facts

1. PPL(A) – flying for pleasure Private Pilot License PPL(A) is the most suitable option, if you wish to fly just for your own personal needs or pleasure,

Entry requirements for PPL(A):
Age16 years old or over Me

Dration:Approx.
1 year Ground school:155 hours of theory
Flight training:47 hours in single-engine aircraft such as Cessna 172

2. CPL(A) – flying as a career track
Having a Commercial Pilot Licence (CPL(A)) allows flying for a compensation or a hire, so it is the choice, if you wish to pursue flying as a career, e.g.

Entry requirements for CPL(A):
Age:18 years old or over.
Modular course: Duration:Approx. 2-3 years Ground school: 155 hours of PPL theory
620 hours of ATPL theory Flight training:

3. ATPL(A) – career as an airline pilot
Air Transport Pilot License (ATPL(A)) is a licence for you to seek if the following statements match with your expectations:

Entry requirements for ATPL(A) integrated:Age:18 years old or over

Duration:Approx. 2-3 yearsGround school: 770 hours of ATPL theory

Sasa kama huyo wa Ngowi bado ana hrs za kutosha kuwa commercial pilot na kusukuma midude kama Boeng, Airbus, de havelland etc.... hata Fokker 28 sidhani kama anaruhusiwa.
 
Acha kutumia google mimi naongelea uhalisia
Acha u much know mkuu, kwanza kwa Private Pilot Licence flight training ni sio 50 hrs ni 47 hrs. umetuongopea!!

These are facts

1. PPL(A) – flying for pleasure Private Pilot License PPL(A) is the most suitable option, if you wish to fly just for your own personal needs or pleasure,

Entry requirements for PPL(A):
Age16 years old or over Me

Dration:Approx.
1 year Ground school:155 hours of theory
Flight training:47 hours in single-engine aircraft such as Cessna 172

2. CPL(A) – flying as a career track
Having a Commercial Pilot Licence (CPL(A)) allows flying for a compensation or a hire, so it is the choice, if you wish to pursue flying as a career, e.g.

Entry requirements for CPL(A):
Age:18 years old or over.
Modular course: Duration:Approx. 2-3 years Ground school: 155 hours of PPL theory
620 hours of ATPL theory Flight training:

3. ATPL(A) – career as an airline pilot
Air Transport Pilot License (ATPL(A)) is a licence for you to seek if the following statements match with your expectations:

Entry requirements for ATPL(A) integrated:Age:18 years old or over

Duration:Approx. 2-3 yearsGround school: 770 hours of ATPL theory

Sasa kama huyo wa Ngowi bado ana hrs za kutosha kuwa commercial pilot na kusukuma midude kama Boeng, Airbus, de havelland etc.... hata Fokker 28 sidhani kama anaruhusiwa.
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Hongera mno
 
Back
Top Bottom