HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,313
- 103,537
Uongo urubani sio kama shule ya msingi. Uelewa wako ndio unakufanya umalize mapema
Afrika kusini unatakiwa masaa 200 ya mafunzo, ambayo inachukua kama miezi 18, na gharama ni $ 50,000.