NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,840
- 5,099
Tena baba wa huyu bint prof Honest Ngowi namfahamu tumeshakaaga kiti kirefu na yeye SAUT.Hongera sana kaka na binti yetu
una sh. ngapi hapo nikufanyie connection?
SHIKAMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOORubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Mkuu umeeleza kitaalam sana. Kumbe hadi marubani na wao huwa wanapiga deiwaka?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Sio marangu ni old moshiRubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Mtoto ni mdogo ana miaka miaka mitatu ila nataka nimjenge kwenye mazingira ya kuja kuwa rubani? Ndo nataka nijue nifanyeje yani.una sh. ngapi hapo nikufanyie connection?
Mkuu umeeleza vizuri sana.Day worker kwa pilot inafaida sana kwake baadae kufikia vigezo vya kuajiriwa. Ukimaliza chuo na leseni ambayo inakuruhusu kurusha ndege ukiwa unalipwa huwa mara nyingi kama sio zote unatoka chuo ukiwa na 250 flying hours. Ambazo hazitoshi kukupa ajira kwa mashirika ata madogo. Wakitangaza ajira unaweza kuona anahitajika mtu mwenye minimum ya masaa 400 kwenye Cessna Caravan mfano. Sasa kwenda kusomea masaa mengine 150 ni kutumia tena hela ndefu mno. Ili kuepuka kutoa mahela tena kuongeza masaa, ndio unaenda kuomba kuruka bure na captain, wakikubali, maana yake, kwanza unapata kufundishwa kurusha aina ya ndege bure, halafu unapata kujenga masaa yako bure. Ukifikia yale masaa wanayotaka na ajira imetoka, hapo wa kwanza kwenye list kutizamwa ni wewe, kwa sababu tayari wanakujua kwa vile ulirusha ndege zao. Haya mambo kama unapata mwalimu mzuri, anakupa njia zote za wewe kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata ajira.
Halafu njia nyengine ya kujiweka kwenye nafasi nzuri, ukimaliza CPL (Commercial pilot license) unaendelea kusoma kuwa INSTRUCTOR, yaani kuwa mwalim wa kufundisha ndege. Hii inasaidia kujenga masaa nayo. Wakati unamfundisha mwanafunzi mkiwa mnaruka, wewe pia unahesabiwa masaa yako. Kwaio unaweza kukamilisha masaa yako ukiwa unafundisha na uku unalipwa.
Kutokana na gharama yake kuwa kubwa kwa watu wengi kusomesha watoto wao pilot, maanake soko lake la ajira halina competition sana, na mapilot wataendelea kuhitajika sana tu.
Hii ni investment moja nzuri sana kwa mwanao, maana akipata ajira, uku kwetu tunasema Mungu amekupiga tochi, uharibu mwenyeo kwenye maisha tena. 😀
Pia mishahara yao wanalipwaje? Kwa mwezi au kwa masaa? Minimum ni sh.ngapi kwa hapa bongo?Day worker kwa pilot inafaida sana kwake baadae kufikia vigezo vya kuajiriwa. Ukimaliza chuo na leseni ambayo inakuruhusu kurusha ndege ukiwa unalipwa huwa mara nyingi kama sio zote unatoka chuo ukiwa na 250 flying hours. Ambazo hazitoshi kukupa ajira kwa mashirika ata madogo. Wakitangaza ajira unaweza kuona anahitajika mtu mwenye minimum ya masaa 400 kwenye Cessna Caravan mfano. Sasa kwenda kusomea masaa mengine 150 ni kutumia tena hela ndefu mno. Ili kuepuka kutoa mahela tena kuongeza masaa, ndio unaenda kuomba kuruka bure na captain, wakikubali, maana yake, kwanza unapata kufundishwa kurusha aina ya ndege bure, halafu unapata kujenga masaa yako bure. Ukifikia yale masaa wanayotaka na ajira imetoka, hapo wa kwanza kwenye list kutizamwa ni wewe, kwa sababu tayari wanakujua kwa vile ulirusha ndege zao. Haya mambo kama unapata mwalimu mzuri, anakupa njia zote za wewe kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata ajira.
Halafu njia nyengine ya kujiweka kwenye nafasi nzuri, ukimaliza CPL (Commercial pilot license) unaendelea kusoma kuwa INSTRUCTOR, yaani kuwa mwalim wa kufundisha ndege. Hii inasaidia kujenga masaa nayo. Wakati unamfundisha mwanafunzi mkiwa mnaruka, wewe pia unahesabiwa masaa yako. Kwaio unaweza kukamilisha masaa yako ukiwa unafundisha na uku unalipwa.
Kutokana na gharama yake kuwa kubwa kwa watu wengi kusomesha watoto wao pilot, maanake soko lake la ajira halina competition sana, na mapilot wataendelea kuhitajika sana tu.
Hii ni investment moja nzuri sana kwa mwanao, maana akipata ajira, uku kwetu tunasema Mungu amekupiga tochi, uharibu mwenyeo kwenye maisha tena. 😀
Mkuu unaulizia rubani au ubani???
Precision rubani alikua anachukua 18 million kabla ya CorrinaPia mishahara yao wanalipwaje? Kwa mwezi au kwa masaa? Minimum ni sh.ngapi kwa hapa bongo?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Wekeza tu inawezekanaHongera sana natamani ndio angekua binti yangu looh safi sana
Mishahara wanalipwa mwisho wa mwezi lakini icho utakachopata mwisho wa mwezi ukikigawa kwa masaa ulofanyia kazi ndio utajua malipo kwa masaa. Kuna rafiki yangu mmoja yeye alikuwa anasoma pilot saivi yupo precios nafikiri, aliwahi kunambia kuwa mwalim wake alimwambia anaerusha Cessna Caravan mshahara unaanza kwenye $3000 kwa captain kwa mwezi. lakini pia inategemea na kampuni.Pia mishahara yao wanalipwaje? Kwa mwezi au kwa masaa? Minimum ni sh.ngapi kwa hapa bongo?
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kasomea hapa nchini, na yupo A- Level kwa sasa.Miaka 18!..kwa mfumo wa Elimu yetu huyo bado yupo darasani Tena O'level!....Kama kweli huo ndio umri wake Basi Kuna possibility kubwa Sana hakusomea Nchini...nakama itakua ndio hivyo Kama Taifa itatubidi tuuwangalie upya mfumo wetu wa Elimu Nchini!... Otherwise hongera zake!
Hata hajamaliza A-level mkuuluambo makiadi naomba umuulize Omega alisoma PGM? Maana kuna maneno ya kijima sana tulishikishwa enzi tunasoma
Elimu elimu elimu yani watanzania tusipouelewa huu msemo tutasuburi sana sana!!! Yani bila kuureview mfumo wetu wa elimu tutakwisha !!!Sasa nasubiri wenye chuki waje