TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,744
- 21,189
Wazee hawapo humu kushindana na vijana, kwamba kile unachotaka ukipate.Duuu kweli jf kuna wazee??? shikamoo babu!! mnaonaje kwa screen??? nilidhani ni watotot tu! labda mimi ndo mkubwa kuuumbe!! najidanganya!!! sema ukweli enzi zenu 1975 hamkujifunza computer uongo babu?
tuelezee kwa kirefu wewe ulianzaje kujua!! ukiweka picha ya huyo mchaga mdada ni nzuri pia
halafu nambie mbona hawa marubani wa kike wadogo ni wachaga tuuuuu!!!