Omega Ngowi: Rubani mdogo mwenye ujasiri

Rubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Wachaga kwa kuwekeza kwenye elimu hawajambo
 
Huyu ni Mchagga wa Kibosho. Baba yake Honest alikuwa Mwalimu, Mama Yao alikuwa Mhaya Mwalimu.Duu watu wema Sana Waliokutwa na Hofu ya Mungu. Ni walokole Wakatoliki kuikumbuka hii Familia ya Mwalimu Ngowi ni watu Wema mno.
Mrs Ngowi kumbe Ni mhaya? Anafundsha wapi
 
Ni binti anasoma pale Feza Girls, kaanza kusoma pale Mosswood Terminal one akiwa form four. Alivyofika form five aka anza ku accumulate masaa na sasa yuko form six keshakamilisha masaa yake kuanza kuruka mwenyewe. Ni determination ya mtoto na kama akipata support ya wazazi anakamilika. Prof Ngowi is a credible economist principal of Dar Mzumbe Campus, sitting in the board of TIC and TPSF. Nimepata bahati ya kukaa nae mara kazaa very humble and focused hivyo hushangai kuweza kumtengeneza mtoto anavyotaka kwa rehema za Mungu.
Ngowi Ni mpambanaji Sana
 
Mleta Mada wewe ni mjombake bila shaka? sasa mjomba!! nataka kumuoa huyu binti!! namzidi km miaka 7 hivi siyo mbaya fanya haraka, napokea maombi mengi huyu nampa kipa umbele!! amini ana bahati sana kwa hii promotion uliyo mfanyia!

Naamini huyu hana muda na Limbwata huyu!!! atanipenda tu! ma pofessor hawanaga mambo mengi!!! yaani nikioa huyu nitabaki km nilivyo toka tumboni mwa mama yangu!! lift si zipo? ili kumtuliza mawazo ya wivu asije angusha ndege ya sirikali, au!!!

ila nikishaoa huyu siendi Bar za uswahilini sijui kunywa pombe!! mara nile kiti moto wallahi naweza nisitarudi salama! nitapotea njia ya nyumbani kwangu!! wanawake wa darisalama si watu???? mpyutututu!!

walimpoteza mr Stone akaonywa '' km hutaki huchukui kiti'' weee!! akatia ngumu kidogo! '' kwani nimewaomba??? wajanja wakampa akili ''wewe kubali tu si utaenda nyumba ndogo kinyemela kwa wakati wako?'' ''Ooop! sawasawa'' ndo akachukua kijiti!!
 
Rubani wa kwanza mwanamke alikuwa Betty Olotu tulisoma naye std7 1975 Uhuru primary Arusha kwa sasa atakuwa ni mama mtu mzima naye alikuwa mchaga wa Marangu ila baba yake alikuwa na ukwasi maana alikuwa anakuja shule na gari
Duuu kweli jf kuna wazee??? shikamoo babu!! mnaonaje kwa screen??? nilidhani ni watotot tu! labda mimi ndo mkubwa kuuumbe!! najidanganya!!! sema ukweli enzi zenu 1975 hamkujifunza computer uongo babu?

tuelezee kwa kirefu wewe ulianzaje kujua!! ukiweka picha ya huyo mchaga mdada ni nzuri pia

halafu nambie mbona hawa marubani wa kike wadogo ni wachaga tuuuuu!!!
 
Huyo Omega kaajiriwa akiwa under 18 na ni kosa kisheria.
Sheria za maskini hizo! zina wahusu, sisi matajiri tuna angalia vipaji na pesa!! hata km akiwa na miaka 8 kipaji kipo!! anakamata nchi na inaenda vizuri tu!!! hizo sheria kandamizi ninawahusu maskini tu!! mtapingwa na kamwe hamtapata nafasi hiyo!!


IST watoto wetu wanaenda na rasta shuleni!! nguo wanazo taka wao!! na gari yeyote inayo wapendeza chakula wanachotaka wao!! na siku wanayo taka wao!! mwalimu wanachagua nani amfundishe!

Sasa wewe unatuletea mchicha wa bondeni unacheua na kIugali cha dona plus kikwapa na shida zenu za mazogoroni huko kwa Azizi ally hapa! Mfyuuuxxxx!!!
 
Kuna chuo pale Airport kama unaenda terminal 1 nasikia ni cha mzungu mmoja, saa 1 ni USD 250 na at least mwanafunzi anatakiwa asome min. 750 Hrs Max 1500 Hrs ndipo aweze kurusha ndege (Airline Transport) na hapo ni kama haja fail module yyt kwenye hiyo course.

Look here!
Rate price per Hour-250
Required Hrs750 (Min.)
Excahnge rate 1USD = TZS 2315
250X2315=578,750
750×578,750= TZS 434,062,500

Mtoto wa mkulima atauza korosho kiasi gani akasome kwa milioni 434,062,500?
Uliona wapiiii? Uolisikia wapiiii? Heeee? Ulisikia wapiiii? In Bwege's voice!!
 
Wakuu salaam
Mapema Leo binti aitwae Omega Ngowi ambaye Ni Rubani mwanafunzi amefanikiwa kurusha ndege kutoka Dar-Tanga-Zanzibar-Dar akiwa peke yake.

Binti Omega mwenye umri wa miaka 18 ni mtoto wa mhadhiri wa chuo kikuu Cha mzumbe, Prof Prosper Honest Ngowi

Tumpe hongera binti huyu

Cc
fazili
instanbul
Come27
Sky Eclat
Manelezu
jaap
Frank Wanjiru
chuma cha mjerumani
Monchengladbach
NIYOMBARE
nizakale
kinusikwetu
mliberali
View attachment 1559810
Hongera sana binti jasiri, Omega Honest NGOWI,
 
Back
Top Bottom