Ombi la Ukraine 🇺🇦 kujiunga na Umoja wa Ulaya lakubaliwa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,911
Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura.

Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo.

Jumapili iliyopita, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine aliuomba Umoja wa Ulaya uafiki ombi la nchi yake la kupatiwa uwanachama wa haraka kwa kutumika utaratibu maalumu.

Hata hivyo kukubaliwa ombi la Ukraine na bunge la Ulaya hakumaanishi Kiev kuwa mwanachama rasmi katika jumuiya hiyo, bali kwa kupigiwa kura na kupitishwa ombi hilo, sasa mchakato wa nchi hiyo kujiunga na EU utakuwa umeanza.

Kwa utaratibu wa kawaida, nchi inayoomba uwanachama wa kujiunga na Umoja wa Mataifa inatakiwa itimize masharti mbalimbali yanayokidhi vigezo vya Copenhagen, ikiwemo kuwa na soko la uchumi huru, demokrasia thabiti na utawala wa sheria pamoja na kukubali kanuni na sheria zote za Umoja wa Ulaya ikiwemo ya sarafu ya yuro.
4c0rde9e91671d21bh5_800C450.jpg

Baada ya viongozi wa eneo la Donbas nchini Ukraine kuiomba Russia iwatumie misaada ya kijeshi kulingana na mikataba ya ushirikiano iliyoko baina yao, siku ya Alkhamisi ya tarehe 24 Februari, Rais Vladimir Putin wa Russia alitangaza katika hotuba aliyotoa kupitia televisheni ya nchi hiyo kuanza kwa operesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbas.

Hivi sasa Russia inaendelea kuandamwa na vikwazo vikali vya Marekani na waitifaki wake kwa sababu ya kuwaunga mkono Waukraine wenye asili ya Russia wa mashariki ya Ukraine na kuunga mkono uamuzi wa maeneo ya Donetsk na Luhansk kutangaza kujitenga na Ukraine..
 
Ombi la kujiunga umoja wa Ulaya au Umoja wa Mataifa?
 
EU hawawezi kumsaidia chochote Ukraine kwa Sasa, labda baada ya vita

Hakuna mtu anataka ugomvi na Russia kwa Sasa, Putin kachafukwa.

Na wakisubiri baada ya Vita Lazima watafeli Maana Putin kwa Kasi hi anakwenda kuiangusha Moja kwa moja serikali iliyoko madarakani.
Na kuweka kibaraka wake.

Bila shaka hili suala la Ukraine kua EU litakufa kibudu ikiingia serikali mpya chini ya usimamizi wa Putin

Trust me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, wawahishe urasimishwaji wake wakati Putin bado amelemewa kuiteka Kiev, wakipata uanachama rasmi hapo ndio ngoma itanoga maana Putin atalazimika kuipiga bara Uropa yote.

Vitaifa vyote vidogo vidogo vinavyonyanyaswa na Putiin, huu ndio muda muafaka wa kujiunga maana Putin na Urusi wamedhihirisha udhaifu wao kwenye mapambano ya Kev.
 
Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura.
Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU zilitaka yafanyike majadiliano ya haraka kuhusu uwanachama wa Ukraine katika umoja huo.
Jumapili iliyopita, Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine aliuomba Umoja wa Ulaya uafiki ombi la nchi yake la kupatiwa uwanachama wa haraka kwa kutumika utaratibu maalumu.
Hata hivyo kukubaliwa ombi la Ukraine na bunge la Ulaya hakumaanishi Kiev kuwa mwanachama rasmi katika jumuiya hiyo, bali kwa kupigiwa kura na kupitishwa ombi hilo, sasa mchakato wa nchi hiyo kujiunga na EU utakuwa umeanza.
Kwa utaratibu wa kawaida, nchi inayoomba uwanachama wa kujiunga na Umoja wa Mataifa inatakiwa itimize masharti mbalimbali yanayokidhi vigezo vya Copenhagen, ikiwemo kuwa na soko la uchumi huru, demokrasia thabiti na utawala wa sheria pamoja na kukubali kanuni na sheria zote za Umoja wa Ulaya ikiwemo ya sarafu ya yuro.
4c0rde9e91671d21bh5_800C450.jpg

Baada ya viongozi wa eneo la Donbas nchini Ukraine kuiomba Russia iwatumie misaada ya kijeshi kulingana na mikataba ya ushirikiano iliyoko baina yao, siku ya Alkhamisi ya tarehe 24 Februari, Rais Vladimir Putin wa Russia alitangaza katika hotuba aliyotoa kupitia televisheni ya nchi hiyo kuanza kwa operesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbas.
Hivi sasa Russia inaendelea kuandamwa na vikwazo vikali vya Marekani na waitifaki wake kwa sababu ya kuwaunga mkono Waukraine wenye asili ya Russia wa mashariki ya Ukraine na kuunga mkono uamuzi wa maeneo ya Donetsk na Luhansk kutangaza kujitenga na Ukraine..

Kitu nashindwa kuelewa ni haya Matamko na Suctions za kipuuzi kutoka kwa EU na Marekani while Russia yeye anaendelea kupiga tu na kuchukua Miji .
 
Back
Top Bottom