donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
hasa nikutumie vp msaada wangu?au unataka ushairi?
mchango wangu ni kurekebishia hiyo simu!!hii ina matatizo kibao:
(1)Inakaa chaji dk 4 tu.
(2) ukituma msg ya asubuhi njema inafika mchana mwema, na ukituma ya mchana mwema inafika usiku mwema na ukituma ya usiku mwema inafika asubuhi njema.
(3)-Ikipita Ndege kubwa angani inaandika '1missed call'
(4)-Nikipishana na Mchina inaandika "Bluetooth on"
(5)-Nikipita karibu na jiko inaandika "charger connected" chonde chonde nisaidieni.
Wacha kulalamika hovyo dogo.... Hebu tupia Account number yako ya Twitter nikutumie pesa.....
Watu na account zetu..... Kama mie nina account nyingi zimejaa fweza kuliko Mzee wa vijisenti...
Nina account Twitter, facebook, Badoo, Tango, Nimbuzz, Whatsapp, Viber, Skype na zote zina hela....
Chezeiya account weweeee......
Wacha kulalamika hovyo dogo.... Hebu tupia Account number yako ya Twitter nikutumie pesa.....
Watu na account zetu..... Kama mie nina account nyingi zimejaa fweza kuliko Mzee wa vijisenti...
Nina account Twitter, facebook, Badoo, Tango, Nimbuzz, Whatsapp, Viber, Skype na zote zina hela....
Chezeiya account weweeee......
mchango wangu ni kurekebishia hiyo simu!!
Pia ntakupa offa ya kuongeza features nyingine nyingi tu kama,
Ni PM nikusaidie bro!!
- OS ya android mpya (kitkat)
- super fast bluetooth
- 3g and wi-fi connectivity
- extend internal memory
- jiko
- bafu na choo
- na machine ya kupasulia mbao!!
Weka ma ma tigo pesa hadharani.ila msaada wangu ipo cm ya zamani nitakupa sijui itafikaje.nahaina haja yakuchaji.nokia inayotumia betry ndogo za saa za ukutani.ya enz zilee
Mmh kwetu tunachangia harusi tu sijui kama utasomeka.
Uwe mvumilivu tu jomba, mie niliomba mchango ninunue gari ili niweze kutekeleza vyema majukumu yangu ya uwenyekiti tangu mwaka jana hadi sasa nimesaidiwa side mirror moja used, wheel cap mbili used na oil lita moja na nusu. Nimevitunza na naendelea na mchakato, hope baadae ntapewa gear box ..... mdogomdogo hadi gari itakamilika.. it's just hope.
natuma klachi ya difenda vimilia vifaa vitatosha tu gari ikamilike. Kesho natuma rejeta ya greda. Halafu nina plate namba 2 kila moja ina usijiri wake, zitakufaa pia.
Thanx mkuu. No offense but I hope you don't mind adressing me with that name again au vp? Sharps!
Mekupata mkuu... Very sorry!! Ni kichitchat tu..........
kweli kabisa ....pendekezo unaonaje hiyo gari ndogo ukaiwekea matairi ya trekta nadhani itakuwa na muonekano mzuri kama zile hammer si unaziona ???Umenisaidia pakubwa best... kwa mtindo huo naamini ndoto yangu ya kumiliki usafiri itatimia, Slave kaniahidi exhaust pipe ya fuso, tutaipunguza itumike kwenye gari ndogo..
na misiba tuMmh kwetu tunachangia harusi tu sijui kama utasomeka.