Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

Kutoa hela sio shida kama zipo.

Tatizo ni Mwanamke hata hamjafahamiana vizuri ashaanza kukuomba hela au kutangaza shida zake.

Hapo mwanaume inabidi ubadili mbinu maana unadili na muuzaji.
 
Kwa sisi wanawake kukuomba hela ni part ya kufahamiana pia
Kuna dada aliniacha hoi,yaani Kakutana na Mtu hawajamaliza hata wiki,akaomba laki Tano,ni dada anafanya kazi nzuri tu,nikaanza mcheka nikamwambia aisee umezidisha mbona ghafla sana,akajibu wewe huwajui Hawa,akishakuzoe keshakuonjaonja ndio hakupi kabisaaa,Bora ukiwa mpya bado wanakuwa na moto....nikanyoosha mikono juu
 
🤣🤣🤣🤣Sasa si ndio unaweka heshima legend,yaani muamala ukisoma unakuwa unaheshimika muamala na mwenye muamala wake
Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣
 
Back
Top Bottom