Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 18,430
- 42,538
Maturity!Polepole mkuu. Tunaozitoa hizo bikra ni sisi wenyewe halafu tunaowabikiri hatuwaoi. Ingekuwa kila tunayembikiri tunamuoa nadhani kusingekuwa na huu mtanziko tunaouona katika jamii.
Maturity!Polepole mkuu. Tunaozitoa hizo bikra ni sisi wenyewe halafu tunaowabikiri hatuwaoi. Ingekuwa kila tunayembikiri tunamuoa nadhani kusingekuwa na huu mtanziko tunaouona katika jamii.
Halafu wao wakinyimwa midomo mirefu km chuchunge..!!!Tabia mbaya tu za uchoyo uchoyo
Unatunzwa ukiwa mke au hawala hawala tu kama hawa tunaowaloweka kitaaaMwanaume anamtunza Mtu anayempenda,Ukiona hupewi Hela ujue Kuna anayekula Hela zake
Hahahahaha..Rafiki kwani we sio mchoyo ? Huna uchoyo uchoyoTabia mbaya tu za uchoyo uchoyo
Wanajifanya hawaelewi habari mkono unaotoa,ndio unaopokea😁Halafu wao wakinyimwa midomo mirefu km chuchunge..!!!
Sasa Mtu ananijali hiyo nguvu ya uchoyo naitoa wapi mimii 😁😁ila ukijifanya msela aah tunaenda sawa mbona,kalenda tu kila uchao Hadi unaniacha mwenyeweHahahahaha..Rafiki kwani we sio mchoyo ? Huna uchoyo uchoyo
Wawe tu hatujali wala mimi🤣🤣🤣🤣🤣Dah Wabongo mkisikia Hela mnakuwa mbogo
Hahahahaha...hahahahaha..sawa sawa RafikiSasa Mtu ananijali hiyo nguvu ya uchoyo naitoa wapi mimii 😁😁ila ukijifanya msela aah tunaenda sawa mbona,kalenda tu kila uchao Hadi unaniacha mwenyewe
Ndio maana kama ulisoma Uzi wangu ulee,yaani ukiotea jamaa una feelings nae halafu sio mchoyo,walah unaweza his uko paradise.Hahahahaha...hahahahaha..sawa sawa Rafiki
Hahahahaha...nakuelewaNdio maana kama ulisoma Uzi wangu ulee,yaani ukiotea jamaa una feelings nae halafu sio mchoyo,walah unaweza his uko paradise.
Well saidMAHUSIANO SIO SEHEMU YA KUINGIZA KIPATO
Mwambie TANAPA wametangaza kazi,Kuna demu ananiomba laki 6 akalipe kodi, fala sana
Kutoa hela sio shida kama zipo.
Tatizo ni Mwanamke hata hamjafahamiana vizuri ashaanza kukuomba hela au kutangaza shida zake.
Hapo mwanaume inabidi ubadili mbinu maana unadili na muuzaji.
Kuna dada aliniacha hoi,yaani Kakutana na Mtu hawajamaliza hata wiki,akaomba laki Tano,ni dada anafanya kazi nzuri tu,nikaanza mcheka nikamwambia aisee umezidisha mbona ghafla sana,akajibu wewe huwajui Hawa,akishakuzoe keshakuonjaonja ndio hakupi kabisaaa,Bora ukiwa mpya bado wanakuwa na moto....nikanyoosha mikono juuKwa sisi wanawake kukuomba hela ni part ya kufahamiana pia
🤣🤣🤣🤣Sasa si ndio unaweka heshima legend,yaani muamala ukisoma unakuwa unaheshimika muamala na mwenye muamala wakeUmenichekesha sana legend. Hela na iheshimiwe na kila mtu.
Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣🤣🤣🤣🤣Sasa si ndio unaweka heshima legend,yaani muamala ukisoma unakuwa unaheshimika muamala na mwenye muamala wake