Omarosa na Trump

Omarosa na Trump

Hivi haya ya ku record tena ndani ya the situation room, hawezi kupata matatizo kutoka kile kiapo waliapishwa na Pence!
Unless kama ku record WH conversation haiko kwenye vipengele.

Hapana, hakuna sheria inayozuia kurekodi mambo huko situation room; sheria inakataza kutoa information ambayo ni classified tu. maongezi hayo tuliyosikia baina ya General Kelly na Omarosa hayakuwa classified na wala hakukuwa na haja ya kufanyia kikao hicho huko situation room kwa vile yalikuwa ni administrative ambayo yangefanyikia ofisini kwa kwake tu.
 
Yaan my Dear black oppression is still there, though it hard to declare it openly.

Sasa kwa tabia kama hii ya omurasa usitegemee kabisa atawapa black women jina zuri.

Kina condolezza, Oprah and the like wanajitahd sana kumuhudumia clear jina la black women but not omurasa


Exactly.
Hivi nani hafahamu kuwa mwanamke mweusi has to work twice extra hard to be seen as excellent, and outstanding.
Nani hafahamu we have to be in our best behavior to be accepted in a well respected community.

Hivi Michelle O. with all that Class on her, sio na bado aliitwa majina kama Obama's baby mama. Kwa hiyo tukubali tukatae, the stigma is there. Na mtu kama Omarosa na ma drama queen wengine acting this way ndo kabisa, they keep fuelling' t.
 
NN unless you didn't get my point right. I am not denying the fact that " tabia ya mtu ni mtu pekee na siyo base ya rangi, gender etc"
But kumbuka black people are mostly the victims of every oppression in whites society. And so tunategemea mwanamke mweusi aww very smart and intelligent in choosing how to behave.

Sasa huyu ataendeleza ile lugha ya " they can't be trusted"

Halafu tukubali tukatae Bado jamii ya wazungu haiamini sana jamii ya watu weusi ingawa inataka kutuaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho. Well that is according to my poor brain though....


"And so tunategemea mwanamke mweusi aww very smart and intelligent in choosing how to behave.."

You've Hit the right Spot! 💯
 
Hapana, hakuna sheria inayozuia kurekodi mambo huko situation room; sheria inakataza kutoa information ambayo ni classified tu. maongezi hayo tuliyosikia baina ya General Kelly na Omarosa hayakuwa classified na wala hakukuwa na haja ya kufanyia kikao hicho huko situation room kwa vile yalikuwa ni administrative ambayo yangefanyikia ofisini kwa kwake tu.


Ai see, OK!
 
Welcome to the age of the 24 hour news cycle!

That Omarosa saga seems to be done and dusted, after all.

Haven't heard a peep about her all this week nor seen her face on TV.

Now it's on to the next episode...the 'flippers'.

And by the way, whatever happened to the Russian collusion?

Or was it just an illusion?
 
Mh!, Ngabu this tone is scary.

Halafu she's still going to speak to Mueller.

Yaani with all that he shaked the country and the World with..
The Russian probe, Democrats, the back and forth with Kim, Iran, the almost Nuke War, et cetera...

Omarosa could be the one to take him down?!!, ama kweli hii ni dunia.
Kamba hukatikia pembamba... Kumbuka Goliath aliangushwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Omarosa.jpg


Omarosa Manigault-Newman...

Huyu mama huyu...ni bonge moja la drama queen. Sitoshangaa huyu ndo akawa sababu ya Donald Trump kuanguka na kuachia urais.

Mwaka 2004 ndo nilimwona kwa mara ya kwanza huyu mama. Nilimwoma kwenye kipindi cha Apprentice kilichokuwa kinaongozwa na Donald Trump.

Kwenye hicho kipindi huyu mama alijionyesha kuwa ni mpenda drama sana. Mara aligombana karibu na washiriki wote kwenye hicho kipindi kwa wakati huo.

Tokea hapo ndo yeye na Trump wakawa karibu. Baadaye mwaka 2016 akafanya kazi kwenye kampeni ya urais ya Donald Trump.

Baada ya Trump kushinda, akaja kuteuliwa na [Trump] kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ya moja ya idara za White House.

Hakudumu sana kwenye hiyo nafasi. Alifukuzwa mwishoni mwa mwaka jana.

Sasa kaandika kitabu kuhusu muda wake hapo White House na kaja na tuhuma kibao.

Moja ya tuhuma ni anadai kuwa Trump alishawahi kurekodiwa akilitumia neno la 'N' [the N word]. Trump mwenyewe kakanusha.

Akiwa hapo White House, Omarosa inaelekea aliwarekodi kwenye mazungumzo watu wengi. Kuanzia Trump mwenyewe, General Kelly, na wengineo.

Sasa kaanza kuachia kidogo kidogo mazungumzo ambayo alikuwa anayarekodi.

Je, hiyo kanda ya Trump anayodai Omarosa kuwa ipo nayo itavuja? Tusubiri tuone.

Ila kusema ukweli huyu Omarosa ni nyoka. Hapo White House inaonekana alikuwa yupo kwa ajili ya mashahi yake tu na siyo kulihudumia taifa lake.

Katika moja ya teuzi mbaya kabisa ambazo rais Trump kazifanya basi ya huyu mama inaweza kabisa kushika nafasi ya kwanza.

Ngoja tusubiri mwisho wake tuone...
Leta hoja zilizoenda shule. Trump ni boya tu kama maboya wengine.
 
We kumbe humfahamu hata kidogo trump,aanguswhe na huyo.amepitia mangapi?wamejitokeza wanawake wengi kwamba aliwadhalilisha kingono imepita.wanasema Russia imemsaidia nayo itapita.wameandika Kitabu first and furry kiko wapi?,mwanasheria wake aliachia audio juzi juzi.iko wapi?
Fire and furry..Hahah kile kitabu walishangilia sana na kusema ndo mwisho wa Trump.Trump is a survivor aisee.Sasa subiri mid-term election sept hii Red wave litakapofagia ma liberal.Kuna Liberal mmoja alisema the only way ya kumuondoa Trump is economic recession tu,nothing else.Maana drama wanampiga nazo zote anazipangua daily.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vijembe tena?!, wakati kuna tapes!...
The only way wanaweza muondoa Trump is economic recession.Ukichanganya na hizi drama watu wanaweza pata hasira kweli wakamuondoa.Ila as long as watu wanakuwa employed and cash IN.They wont give a damn about the tapes ana Amarosa dramas.Trust me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fire and furry..Hahah kile kitabu walishangilia sana na kusema ndo mwisho wa Trump.Trump is a survivor aisee.Sasa subiri mid-term election sept hii Red wave litakapofagia ma liberal.Kuna Liberal mmoja alisema the only way ya kumuondoa Trump is economic recession tu,nothing else.Maana drama wanampiga nazo zote anazipangua daily.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa true trump amenifundisha kitu kikubwa.kujiamini.kusimamia unachokiamini na kutokata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom