Habari wakuu!
kwa kweli niseme tu nimeshtuka na kushangaa pia kuwa hata marekani kuna watu hawapati maji safi, na hili mwanadada mrembo mwenye kumiliki headlines kwa sasa huko marekani anayeitwa Omorosa alosema alipoulizwa kihusu mapungufu ya Rais Trump kwenye mahojiano na Trevor Noah wa CC Daily Show...
Kingine cha kunifikirisha kihusu huyu dada ni anavyojiamini, yani aliulizwa hauna hofu juu ya sauti ulizorekodi ikulu na kuziachia, akasema kwa ufupi tu kuwa ukimuona anapambana na dubu, basi wewe muombee dubu...ana nyaraka gani huyu dada?
mahojiano yake haya hapa chini

AP source: It's not just audio, Manigault Newman has videoLakini this administration waliula wa chuya kwa Omarosa. They probably just added her for diversity. She was most of the times front and center in lots of events.
Black Women Americans ni namba nyingine aseh, particularly if they're mad at you, and want to eff you up. Halafu ndo ukutane na ambae ana some sort of power and Influence..
Am thinking party ya Liberals ndo kwanza inaanza. With lots of champgane.
French to be Exact...lol!
Talking about Twitter. Kile kipindi Trump alisema kitu kuhusu Oprah on Twitter, na jinsi watu waliboreka, website za liberals walinichekesha. Waka mention na hili, kuwa when it comes to twitting, no one can control him, or ask him to stop.
And the best solution was for Oprah to buy Twitter (since she can afford) and then delete his account. And that will make every one happy!.😁
AP source: It's not just audio, Manigault Newman has video
Yo!
Trump has an Omarosa problem that he seemingly can't shake it off quite yet.
Sasa bibie anadai si tu ana audio tapes...ana video tapes, emails, text messages n.k. kama ushahidi wa madai yake dhidi ya Trump.
Halafu anadai ataachia ushahidi wake kidogo kidogo kama team Trump wataendelea kumshambulia.
Omarosa nimemnyooshea mikono aisee. Yaani kumbe muda wote huo aliokuwepo hapo White House na kipindi yupo kwenye kampeni ya Trump, yeye [Omarosa] alikuwa na ajenda zake zingine kabisa.
Ila kuanzia sasa, ataenda kufanya kazi wapi na watu wakamwamini? Kama anaweza kumfanyia hivi rais wa Marekani, hao watu wengine je?
Ila Trump naye saa ingine anakuwaga mjinga mjinga sana. Mimi tu hivi from afar nilishangaa sana niliposikia eti Omarosa kateuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi hapo White House maana tabia aliyoionyesha kwenye Apprentice alionekana ni mtu asiyefaa kabisa.
What the hell was Trump thinking? I think he wasn't thinking...
Nasikiaga wanawake weusi wa kimarekani ni micharuko kumbe ndiyo kwa hivi?!. Kitendo hicho cha kurekodi ikulu si uhaini kabisa? kanikera kishenzi huyo mjinga.O.M.G!, holy S! 😶
Mie nimeshangaa zaidi cos I didn't pay much attention kwenye Apprentice yake, nimeanza kumuona zaidi during the Campaign. She's a real Drama Queen!
Halafu Trump Campaign wametisha ku Sue, kumbe ndo wanachochea moto..
Kwa hiyo hivi anavyo revoke Security Clearance za some of top spies inawezekana ni kweli anajaribu ku draw attention away from the elephant in the room?!
NN nilichogundua kwa omorasa she had hidden agenda. And worse enough trump and co didn't see it at first.AP source: It's not just audio, Manigault Newman has video
Yo!
Trump has an Omarosa problem that he seemingly can't shake it off quite yet.
Sasa bibie anadai si tu ana audio tapes...ana video tapes, emails, text messages n.k. kama ushahidi wa madai yake dhidi ya Trump.
Halafu anadai ataachia ushahidi wake kidogo kidogo kama team Trump wataendelea kumshambulia.
Omarosa nimemnyooshea mikono aisee. Yaani kumbe muda wote huo aliokuwepo hapo White House na kipindi yupo kwenye kampeni ya Trump, yeye [Omarosa] alikuwa na ajenda zake zingine kabisa.
Ila kuanzia sasa, ataenda kufanya kazi wapi na watu wakamwamini? Kama anaweza kumfanyia hivi rais wa Marekani, hao watu wengine je?
Ila Trump naye saa ingine anakuwaga mjinga mjinga sana. Mimi tu hivi from afar nilishangaa sana niliposikia eti Omarosa kateuliwa kuwa mmoja wa wakurugenzi hapo White House maana tabia aliyoionyesha kwenye Apprentice alionekana ni mtu asiyefaa kabisa.
What the hell was Trump thinking? I think he wasn't thinking...
Nasikiaga wanawake weusi wa kimarekani ni micharuko kumbe ndiyo kwa hivi?!. Kitendo hicho cha kurekodi ikulu si uhaini kabisa? kanikera kishenzi huyo mjinga.
All in all black women ni shida sana sana. They can't be trusted.
...Angekua na recording ya N word angeshaiweka hadharani
NN nilichogundua kwa omorasa she had hidden agenda. And worse enough trump and co didn't see it at first.
Kwasasa amekuwa msumari wa moto sio tu kwa trump bali hata kwa baadhi ya watu wake wa karibu kama kina Kelly.
So does she think she can melt the iron in him?