Omarosa na Trump

Omarosa na Trump

Nawaza, if she's holding that power at the moment. And if she can really take down the most powerful man in the World.
Nalendwa believe it she doesn't have such powers. Although she will shake him, just like what happened to Clinton and Monica Lewisk
 
She has treasure trove of tapes, videos, text messages. About 200 tapes.

She's probably saving the Best for the Last.
But still she can't put him down. I trust trump is stronger than this shit.
 
Mimi sidhani kama tabia ya mtu ina uhusiano wa moja kwa moja na rangi yake ya ngozi.

Kuna wanawake weusi wengi tu wasio na tabia kama ya Omarosa na wapo wanawake wengi tu wa rangi zingine [Wazungu, Walatino, nk] wenye tabia tabia kama za Omarosa.

Watu wenye tabia za ajabu ajabu wapo kwenye kila jamii.

Hata Tanzania, wapo. India, wapo.

Bado sijashawishika kabisa kuwa kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya rangi ya ngozi ya mtu na tabia.

Omarosa naye yuko hivyo alivyo kama yeye binafsi. Hawakilishi tabia za wanawake weusi wa Kimarekani.

Hivi kweli unaweza kusema Omarosa na Condoleeza Rice wana tabia sawa?

Au Keisha Lance-Bottoms na Omarosa wana tabia sawa?

Omarosa ni Omarosa tu.

Mbona Trump naye ana mambo ya ajabu ajabu.

Duterte naye hivyo hivyo.

Magu naye hayuko mbali sana...

Hao watatu ni watu wa rangi tofauti kabisa.

Let’s not stereotype.
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.
 
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.

Lakini mbona wanawake wenye tabia mbaya wapo wa rangi zote?

Kama umewahi kuishi kwenye jamii iliyo racially diverse basi jaribu kuwa observant na utaliona hilo.

Kuhusisha rangi ya ngozi na tabia ya mtu ilhali wapo na wengine wa rangi zingine wenye tabia mbaya, si sawa.

Trump ni mwanaume wa Kizungu lakini mbona tabia zake hazihusishwi na rangi yake ya ngozi?

Omarosa anajiwakilisha mwenyewe tu na matabia yake ya ajabu ajabu.

Wapo wanawake wengi tu weusi wasio na tabia kama za Omarosa.
 
Labda niseme hivi wanawake weusi husemwa kwa tabia mbovu, lkn hii husababishwa na kundi dogo sana la wanawake weusi wenye tabia mbaya.

Wapo wanawake weupe wenye tabia mbovu but tabia zao hazivumi vibaya na hupelekea pia kutetewa ukilinganisha ni wanawake weusi.
 
Yaani trump aondoke ikulu kwa sababu ya huyo mjinga...!!?? Yaani hata km trump alitumia hilo neno,bado hawezi kuondoka ikulu. Tabia ya ubaguzi aliyonayo trump ni tabia ya watu weupe wote. Ndo maana weupe ndo walimpa shavu trump. Tofauti ya trump na wengine,trump siyo mnafiki. Trump atashinda uchaguzi ujao kwa kishindo....! Halafu kuna watu,huwa wanamuona trump km hana akili,hivi hata akili za kawaida tu,km trump angekuwa mjinga kiasi hicho hivi angemiliki utajiri wote huo!?? Kuwa na utajiri tu ni uthibitisho kuwa anaakili!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But still she can't put him down. I trust trump is stronger than this shit.

Lakini what about his base..
Kama kweli the N word is in the tapes, sijui kama wataendelea kum support?!
Na hapo ndo unaweza kuwa mwanzo wa mwisho.

But again, the odds he defied, we can never bet on him..
 
Fine it's stereotyping, bit this woman anawakilisha lile kundi dogo sana la.wanawake blacks ambao wanasema kwa tabia mbaya.

Precisely my thought.
Ni kweli kuna mgawanyiko.
There's the Omarosas and the like, ambao wanaweza kufanya hivi vitu. And if they decide to screw someone, they go the whole nine yards.

And then there's Condoleezzas, Oprahs, Michelles, Channing Dungeys, the Isabel dos Santos and many more who you can at least trust.
 
Precisely my thought.
Ni kweli kuna mgawanyiko.
There's the Omarosas and the like, ambao wanaweza kufanya hivi vitu. And if they decide to screw someone they go the whole nine yards.

And then there's Condoleezzas, Oprahs, Michelles, Channing Dungeys, the Isabel dos Santos and many more who you can at least trust.

But, is content of one’s character determined by skin color?

Ulichosema hapo pia kipo kwa wanawake wa rangi zingine, uongo?

Tabia ya Omarosa ni yake yeye mwenyewe na si ya wanawake weusi kama vile tabia ya ‘Cash me outside’ Danielle Bregoli ilivyo yake yeye na si ya wasichana wote wa kizungu.

Tabia haina rangi. Bali tabia huwa ya mtu.
 
Labda niseme hivi wanawake weusi husemwa kwa tabia mbovu, lkn hii husababishwa na kundi dogo sana la wanawake weusi wenye tabia mbaya.

Wapo wanawake weupe wenye tabia mbovu but tabia zao hazivumi vibaya na hupelekea pia kutetewa ukilinganisha ni wanawake weusi.

Hiyo ni stereotyping iliyo rooted katika ignorance.

Hakuna race au gender yenye monopoly na tabia flani flani tu.

Tabia haina jinsia. Tabia haina rangi.

Tabia huwa ni ya mtu.

Na ndo maana Martin Luther King Jr alikuwa na ndoto ya matumaini kwamba siku moja wanae watahukumiwa kwa tabia zao na si rangi za ngozi zao.

Omarosa na tabia yake anajiwakilisha mwenyewe. Hawakilishi wanawake weusi wenye tabia mbaya.
 
Rekodi ya situation room na Kelly naona itamwangusha koz Kelly hakufanya kosa ktk maneno lakini Omarosa alifanya kosa kuingia na kifaa cha kurekodia Situation room.
Halafu huyo hakuwai kupaza sauti yyte kuhusu umma wa weusi si Michael Brown, I cant Breathe au maandamano ya White Nazis. Eti baada ya kuachishwa kazi anaanza drama.
Kwnza alisema ame quit kisha leo anaachia tape eti alifukuzwa pasipo kusikilizwa. Halafu Trump mnafiki sana eti ktk tape alisema anasikitishwa na kufukuzwa kazi kwa Omarosa hahahaaa like they say BYE FELICIA.....
 
Wafuasi wengi wa trump wanaomjua kuwa ni mtu kigeugeu, hasa wale ambao ameshirikiana nao kwa muda mrefu, wamekuwa wakimrekodi kwa vile anaweza kusema jambo moja halafu baadaye akapinga; tabia hiyo walijifunza kwake mwenyewe kwa vile yeye mwenyewe alikuwa akirekodi wengine pia. Hawa wanaomjua Trump kama mgombea uraisi ndio ambao huwa hawakujua kuwa kuna kurekodi. Michael Cohen alimrekodi sana, Omarosa naye amerekodi sana, na kuna mtu mwingine kutoka kwenye Apprentice ambaye alifanya kwenye Golf courses za Trump naye alikuwa akimrekodi. Halafu kwa kujua hivyo ndiyo maana huwa anawalazimisha wasaini NDA!
 
Hiyo ni stereotyping iliyo rooted katika ignorance.

Hakuna race au gender yenye monopoly na tabia flani flani tu.

Tabia haina jinsia. Tabia haina rangi.

Tabia huwa ni ya mtu.

Na ndo maana Martin Luther King Jr alikuwa na ndoto ya matumaini kwamba siku moja wanae watahukumiwa kwa tabia zao na si rangi za ngozi zao.

Omarosa na tabia yake anajiwakilisha mwenyewe. Hawakilishi wanawake weusi wenye tabia mbaya.
'Miafrika ndivyo tulivyo'
Steriotyping

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But, is content of one’s character determined by skin color?

Ulichosema hapo pia kipo kwa wanawake wa rangi zingine, uongo?

Tabia ya Omarosa ni yake yeye mwenyewe na si ya wanawake weusi kama vile tabia ya ‘Cash me outside’ Danielle Bregoli ilivyo yake yeye na si ya wasichana wote wa kizungu.

Tabia haina rangi. Bali tabia huwa ya mtu.

Skin complexion does not determine one's character, you're right.
Kuna rangi nyingine wana issues pia kama tunazoziona kwa baadhi ya wanawake weusi. And Yes!, nakubali it's stereotyping.

Lakini pia, tukumbuke kuwa wanawake wengi weusi ni part of the oppressed community, kitu kilichosababisha some of the issues that are still haunting them to this day, socially, economically..
Tena zaidi sana wale ambao hawako savvy, na wasiotaka kujitoa katika hiyo hali, na kupelekea iendelee from generation to generation. Na ndio unawakuta sehemu nyingi dhaifu ni wao, accompanied by their truculent behavior.
 
Wafuasi wengi wa trump wanaomjua kuwa ni mtu kigeugeu, hasa wale amabo ameshirikiana nao kwa muda mrefu, wamekuwa wakimrekodi kwa vile anaweza kusema jambo moja halafu baadaye akapinga; tabia hiyowalijifunza kwake kwa vile yeye mwenyewe alikuwa akirekodi wengine. Hawa wanaomjua Trump kama mgombea uraisi ndio ambao huwa hawakujua kuwa kuna kurekodi. Michael Cohen alimrekodi sana, Omarosa naye amerekodi sana, na vkuna mtu mwingine kutoka kwenye Apprentice ambaye alifanya kwenye Golf courses za Trump naye alikuwa akimrekodi. Halafu kwa kujua hivyo ndiyo maana huwa anawalazimisha wasaini NDA!

Hivi haya ya ku record tena ndani ya the situation room, hawezi kupata matatizo kutoka kile kiapo waliapishwa na Pence!
Unless kama ku record WH conversation haiko kwenye vipengele.
 
But, is content of one’s character determined by skin color?

Ulichosema hapo pia kipo kwa wanawake wa rangi zingine, uongo?

Tabia ya Omarosa ni yake yeye mwenyewe na si ya wanawake weusi kama vile tabia ya ‘Cash me outside’ Danielle Bregoli ilivyo yake yeye na si ya wasichana wote wa kizungu.

Tabia haina rangi. Bali tabia huwa ya mtu.
NN unless you didn't get my point right. I am not denying the fact that " tabia ya mtu ni mtu pekee na siyo base ya rangi, gender etc"
But kumbuka black people are mostly the victims of every oppression in whites society. And so tunategemea mwanamke mweusi aww very smart and intelligent in choosing how to behave.

Sasa huyu ataendeleza ile lugha ya " they can't be trusted"

Halafu tukubali tukatae Bado jamii ya wazungu haiamini sana jamii ya watu weusi ingawa inataka kutuaminisha kwamba hakuna kitu kama hicho. Well that is according to my poor brain though....
 
Precisely my thought.
Ni kweli kuna mgawanyiko.
There's the Omarosas and the like, ambao wanaweza kufanya hivi vitu. And if they decide to screw someone, they go the whole nine yards.

And then there's Condoleezzas, Oprahs, Michelles, Channing Dungeys, the Isabel dos Santos and many more who you can at least trust.
Yaan my Dear black oppression is still there, though it hard to declare it openly.

Sasa kwa tabia kama hii ya omurasa usitegemee kabisa atawapa black women jina zuri.

Kina condolezza, Oprah and the like wanajitahd sana kumuhudumia clear jina la black women but not omurasa
 
Yule changudoa alipotelea wapi? Yule aliyesema alikua analipwa hela na lawyer wa Trump
 
Back
Top Bottom