Ni katili la asili hili. Ni idd amin huyu.Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast