Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,654
- 14,075
Moja ya ma IGP wa hovyo kutokea
Duh aise ,kazini anaukauzuHuyu Mzee ni katili kweli nakumbuka kipindi anakaa majumba ya police Mikocheni pale
Ngoja amalizie siku zake,atetemeketetemeke mwili,ang'ate shuka awahi kiwanja makaburini.Bado yuko hai?
Ukatili wote Ila Beki tatu alimnyoosha sana huyu Mzee kwenye ile issue ya matunzo ya Mtoto . Sijui kesi iliishaje?
Ajabu kabisa.Kwahiyo Anajisifia?
Ni aibu.Ajabu kabisa.
Umemsaidia mwanaye kupata koneksheni na kupeleka urithi wa ukatili, uongouongo na ujingaujinga katika jeshi la polisi Tanzania.Imemsaidia nini ukatili!Nae ugonjwa unamfanyia ukatili Kweli!
Dah!Umemsaidia mwanaye kupata koneksheni na kupeleka urithi wa ukatili, uongouongo na ujingaujinga katika jeshi la polisi Tanzania.
Kwani ni uongo mkuu.Sema kweli tu.Mbwa hazai mbuzi.Dah!
Demu alishinda 🤣Ukatili wote Ila Beki tatu alimnyoosha sana huyu Mzee kwenye ile issue ya matunzo ya Mtoto . Sijui kesi iliishaje?
Kwani na yeye alifirwa..?👀👀👀Ndo MHASISI WA ufirwaji
Ohh okKuna watu hua wanapost humu wataandika "Mahita ameisha siku hizi atakua anajutia" "Anatembelea magongo"
Haya yeye huyo hapo anaelezea perspective yake.
Watu waache kujifariji. Mara utasikia maaskari hua na mwisho mbaya sana muone Zombe.
But these guys don't share your perspective and they will never.