moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,511
- 776,398
Anataka apate ka uteuzi kwenye bodi.Kwahiyo Anajisifia?
Anataka apate ka uteuzi kwenye bodi.Kwahiyo Anajisifia?
Lakini amesema mafanikio yake wakati wake hakukuwa na utekaji na alikua hapokei maelekezo ya wanasiasaMoja ya ma IGP wa hovyo kutokea
Yap! Nafikiri mtandao wake wa Ujambazi ulikwisha sambaratishwa. Alikuwa katili kwa wanyonge wasakatonge, lakini kwa mabwenyenye aliwalinda na kushirikiana nao katika dili CHAFU.Muasisi wa ujambazi wa benki 😂😂😂
Muongo na mnafiki huyo, vipi kuhusu issue ya mapanga fake yaliyochorwa nembo ya CUF na kisha kuwasingizia CUF kwamba ni magaidi. Je, alitumwa na Nani kufanya hivyo? Je, Ni nini lengo la ile movie?Lakini amesema mafanikio yake wakati wake hakukuwa na utekaji na alikua hapokei maelekezo ya wanasiasa
Wa wauaji.Anataka apate ka uteuzi kwenye bodi.
AiseeTulisoma na mwanae Advance, ss alikuwa akivaa nguo yeyote anasema nimenunua Mariedo.
Wale wahenga mnakumbuka yale maduka ya Mariedo eti.
Sasa watu nao wanaenda kununua km ile huko mjini basi anakasirika kweli na vijembe vinaanza na mwisho anaita polisi unabebwa kwenye kigofu.
AiseeNdo MHASISI WA ufirwaji
Ndio maana wasenji wakaja kulipiza kisasi kwenye uchaguzi wa 2025 kwa kuua watanganyika maelfu.IGP aliyesimamia mauaji Pemba mwaka 2001. Makamanda walioshiriki wakapandishwa vyeo. Wapemba wakawa wakimbizi hadi Somalia.
Ambao jamaa zao waliuliwa Pemba bado hawana sauti yoyote Zanzibar.Ndio maana wasenji wakaja kulipiza kisasi kwenye uchaguzi wa 2025 kwa kuua watanganyika maelfu.
Cha ajabu Mungu Bwana Wa Majeshi anawapa maisha marefu na yenye furaha wazee kama hawa.Unamkumbuka IGP Omar Mahita? moja IGP aliyesifika kuwa katili vibaya sana na yeye mwenye amethibitisha hiyo kwa kusema alikuwa acheki na mtu anakwambia "Ukicheza na bwa utaingia naye msikitini"
IGP mstaafu Omar Mahita ameyasema hayo kwenye M&S Podcast
AmenAnakaribia kufa
Huyu mzee alikuwa mshenzi mbwa, aliwauwa na kuwatesa sana wapemba.Alichokifanya Pemba hakita sahaulika.
Inasikitisha sana.IGP aliyesimamia mauaji Pemba mwaka 2001. Makamanda walioshiriki wakapandishwa vyeo. Wapemba wakawa wakimbizi hadi Somalia.
Ndivyo akili za polisi zilivyo, ni kama yule traffic police waliyemuuliza "unajisikiaje baada ya kuhamishiwa Chalinze kutoka Kilombero" akajibu "alhamdulillah, hapa kuna magari mengi sana kutoka Tanga, Arusha, Moshi, Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa na nchi za nje, Kilombero unaweza kukamata gari moja tu kwa siku nzima"Sasa ukatili wake umelisaidia vipi taifa katika kupiga hatua za maendeleo ya kiuchumi,kijamii,kisiasa na kisheria pia?
Muongo na mnafiki huyo, vipi kuhusu issue ya mapanga fake yaliyochorwa nembo ya CUF na kisha kuwasingizia CUF kwamba ni magaidi. Je, alitumwa na Nani kufanya hivyo? Je, Ni nini lengo la ile movie?
Una ushahidi wa Wazanzibari kufanya mauaji Tanganyika?Ndio maana wasenji wakaja kulipiza kisasi kwenye uchaguzi wa 2025 kwa kuua watanganyika maelfu.
Ushahidi ninao. Njoo geto nkupe.Una ushahidi wa Wazanzibari kufanya mauaji Tanganyika?
Au ni story za vibaraza vya kahawa.
Inasikitisha sanaAmbao jamaa zao waliuliwa Pemba bado hawana sauti yoyote Zanzibar.