Ole wenu wanaume wenye tabia hii

Mouth Beibe

New Member
Jan 9, 2012
1
0
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana mchumba mwingine anaetaka kumuoa na siyo huyo mwenye ujauzito wake!!!!loooh hakuna neno linalouma kwetu wanawake kama hilo jamani, inaonyesha dhahiri hunithamini, hunipendi na wazi kabisa kuwa ulikuwa unanichezea...anyway malipo duniani,usipolipwa wewe basi utazaa mwanao na atafanyiwa hivyo,muwe wastaarabu jamani mkikutana na situation kama hii,majibu mengine yanaonyesha wazi kuwa ni jinsi gani huna busara na hekima wewe mwanaume usiye na hata tone la aibu, mimi ukinifanyia hivi naapa sitakusamehe daima na jua kumbuka na faham ya kuwa malipo ni hapa hapa duniani
 
Kweli inaumiza na inatesa, ila msamaha una faida kwako kuliko yule unayemsamehe,kwanini uishi na uchungu maisha yako yote?
Ukiwa na hasira hata huyo mtoto hutampenda....ulikosea kufanya mapenzi na mwanaume asiyekuwa na kiapo nawe,matunda ndo hayo....usimlaum yeye tu...unapaswa kujua ulipaswa kujilinda....Kukimbiwa/kuachwa na mwanaume aliyekupa mimba si mwisho wa maisha....tuna wanawake wengi tu mifano....ukianguka unasimama,unajipanga,unasonga mbele kwa umakini zaidi.
 
nna 22 yrs nna mtoto it just happened like that lakin wee thank god dogo copyright na mm..maana bila mama kusikia rumors sijui kama kwl leo hii ningekua proud as a dady to my beloved Georgette..tena wasichana mkome abortion,siongei kama mtt wa kishua ila dah..simply,nina bahati sana nina kazi nzuri sana niko chuo dah basi tu
 
Kitu cha muhimu situation kama hiyo ikitokea ni kuzingatia kile kiumbe kisicho na hatia ulichokibeba... Nashangaa sana wale wanaoamua kufanya abortion kisa mwanaume amekataa ujauzito... Its true inauma lakini pia kisiwe kisingizio cha kuupoteza utu na kuishi kwa visasi... I believe in karma.. What goes around comes around.. Huyo mwanaume atapata fundisho tu in any way!
 
muwe mnapima kwanza kina cha maji ndio mnajirusha...mwanaume kakutokea, kakupiga fix na vijihela mbuzi vyake, unaingia gia fasta - sasa unategemea nini? halafu, si kuna condom za kike, mbona hamzivai jamaniiiii kupunguza hizo incidences?
 
muwe mnapima kwanza kina cha maji ndio mnajirusha...mwanaume kakutokea, kakupiga fix na vijihela mbuzi vyake, unaingia gia fasta - sasa unategemea nini? halafu, si kuna condon za kike, mbona hamzivai jamaniiiii kupunguza hizo incidences?

ni condom na sio condon.....hawataki hata kuzisikia. na wlio wengi hawataki kuzivaa
 
Kutomsamehe mtu ni kuchagua kuwa victim daima. Learn from ur mess, kuzaa bila mpangilio mtoto wa kwanza ujisamehe mwenyewe, kurudia tena hapo usijisamehe! Beat ur head to sense!
 
Hizo condom watazivalia wapi na wakati wengine huwa wanategesha wapate mimba ili waolewe matokeo yake ndio hayo
muwe mnapima kwanza kina cha maji ndio mnajirusha...mwanaume kakutokea, kakupiga fix na vijihela mbuzi vyake, unaingia gia fasta - sasa unategemea nini? halafu, si kuna condon za kike, mbona hamzivai jamaniiiii kupunguza hizo incidences?
 
Hizo condom watazivalia wapi na wakati wengine huwa wanategesha wapate mimba ili waolewe matokeo yake ndio hayo

wanawake wana ile kaulimbiu yao maarufu inayosema kwamba wakiwezeshwa wanaweza... sasa hivi wamekuwa empowered kwa kuwa na condom zao ambazo wanaweza kuzitumia anytime wakitaka... so what the hell is the problem mpaka dada alaumu kwamba kapewa mimba halafu akakimbiwa?
 
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana mchumba mwingine anaetaka kumuoa na siyo huyo mwenye ujauzito wake!!!!loooh hakuna neno linalouma kwetu wanawake kama hilo jamani, inaonyesha dhahiri hunithamini, hunipendi na wazi kabisa kuwa ulikuwa unanichezea...anyway malipo duniani,usipolipwa wewe basi utazaa mwanao na atafanyiwa hivyo,muwe wastaarabu jamani mkikutana na situation kama hii,majibu mengine yanaonyesha wazi kuwa ni jinsi gani huna busara na hekima wewe mwanaume usiye na hata tone la aibu, mimi ukinifanyia hivi naapa sitakusamehe daima na jua kumbuka na faham ya kuwa malipo ni hapa hapa duniani

Yaani! Ingekuwa ni miaka ile ya 19 kweusi mtu ataeleweka.Mwanamke au msichana wa miaka hii yenye UKIMWI na magonjwa mengine, mtu unapataje mimba tu? Mwanamke mwenye kujiheshimu hatajiachia kupata mimba ovyo ovyo....Ukiachwa au kukataliwa mimba ni halali yako.Hata ukinuna, haikusaidii maana jamaa anaangaza mbele na dua la kuku halimpati mwewe.Mimi ni mwanamke lakini jwa hili wala sioni huruma.Labda kama ni msichana mdogo sana kama wale JK aliosema wana kiherehere, au kama umebakwa ukapata mimba.
 
Bila shaka umemkandia mdada anayekimbiwa baada ya kupata ujauzito, lakini ukimfikiria zaidi yule mtoto anaetelekezwa huruma itakujia ndugu!
 
wanawake wana ile kaulimbiu yao maarufu inayosema kwamba wakiwezeshwa wanaweza... sasa hivi wamekuwa empowered kwa kuwa na condom zao ambazo wanaweza kuzitumia anytime wakitaka... so what the hell is the problem mpaka dada alaumu kwamba kapewa mimba halafu akakimbiwa?

Wewe unayasema hayo as if ni halali yao wanaume kukimbia eti kisa mdada hakuvaa condom! Kama una mtoto wa kike na unasomesha, siku akibeba ujauzito alafu mwenye nao akaukana ndo utakapouona utamu wa mwanamme mwenzio!!
 
Kumekuwa na kijitabia kichafu tena cha siku nyingi kwa baadhi ya wanaume,kijitabia hiki ni cha kuwapa mimba mabinti na kuwakataa bila sababu za msingi,kwa mfano mtu mwingine anaweza kusema eti ana mchumba mwingine anaetaka kumuoa na siyo huyo mwenye ujauzito wake!!!!loooh hakuna neno linalouma kwetu wanawake kama hilo jamani, inaonyesha dhahiri hunithamini, hunipendi na wazi kabisa kuwa ulikuwa unanichezea...anyway malipo duniani,usipolipwa wewe basi utazaa mwanao na atafanyiwa hivyo,muwe wastaarabu jamani mkikutana na situation kama hii,majibu mengine yanaonyesha wazi kuwa ni jinsi gani huna busara na hekima wewe mwanaume usiye na hata tone la aibu, mimi ukinifanyia hivi naapa sitakusamehe daima na jua kumbuka na faham ya kuwa malipo ni hapa hapa duniani

Muhindi alisema usingoje chini ya mkunazi kudai haki yako! Dadaangu wasichana wanatakiwa wajilinde kukimbia mambo hayo. Hata akilipiwa vipi akikishakushikisha mimba basi ameshakukomoa na lolote haligeuzi kitu!
 
Lakini kwanini mwanaume akimbie mtoto? Hakujua kama hilo tendo laleta mimba??

Huwa wanafuata mchezo sio ulezi! Dada zetu mnapaswa kulijuwa hilo mbele na kwa vile hujabakwa basi tusilazimishane, nyie mnajuwa njia nyingi za kuzuia mambo hayo, hivyo kama mmo ndani ya mchezo hakikisheni kuwa mnafanya fair play kila mmoja anatoka salama!
 
Bila shaka umemkandia mdada anayekimbiwa baada ya kupata ujauzito, lakini ukimfikiria zaidi yule mtoto anaetelekezwa huruma itakujia ndugu!

Dada angu kwani hiyo si ndio hoja yenyewe? Tatizo ni mtoto atakaezaliwa na sio ile tumbo, hivyo huyo mtoto aliezaliwa kama atalaumu basi ataanza kwa mama kwa kukosa kuwa mwerevu wa kujiepusha na balaa(hapo sisemei waliobakwa kwa njia moja au nyengine)
 
Condom zina kazi gani kwanza??Watu bana me huwa nawashangaa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom