Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,465
- 4,614
Haha hahaa!
Haha hahaa!
Jeshi hilo lipo kwa ajili ya ccm sii raiaNimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
kufa bwege wewNimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Huu ni uchochezi, unamchonganisha Ole na jeshi letu, pili unatufundisha nidhamu ya uoga!! Eti watu wasiseme UKWELI kwa kuogopa vitisho vyako!!Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Mkuu hili jitu ni zwazwa, limekoma ubishi watu wote wameliponda linatamani liufute huu uzi.Huu ni uchochezi, unamchonganisha Ole na jeshi letu, pili unatufundisha nidhamu ya uoga!! Eti watu wasiseme UKWELI kwa kuogopa vitisho vyako!!
Kwa hiyo ulitaka awatukuze,kuwasifu na kuwapa zawadi?Kwa lipi hasa lenye tija?Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Ulitaka asifie kwamba jeshi letu la polisi lina uwezo wa kulinda wananchi na mali zao?Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Huyu mtoto mdogo tu na mshamba tu yan hajui hata yeye anapata muda wa kuandika hicho kiupuuzi chake kwakua tu polisi wameimarish amani kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na usalama...ila polisi wasijali ipo siku huyu sosopi atafika tu c.r.o kupeleka mahitaji yake sasa nao wamkumbushe tu kua hatuwezi kukusaidia inabidi uende polisi wa Europe wakakusaidieNimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Mkuu mimi binafsi nilishukuru jeshi la Polisi kwa kuwadhibiti wahuni waliopo katika vyama vya upinzani. Nina hakika kabisa kama isingekuwa weledi wa jeshi letu la polisi hawa wahuni wangesumbua sana raia wema. Rejea mawe waliyokuwa wakirushiwa watu waliovaa nguo zenye nembo ya CCM..Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Cc. TumaniEl,UCD, YEHODAYA, ISSIS kwa niaba ya Jamhuri ya vitisho na ubabe. Kilangila.Hivi kwanini kila mpumbavu hapa nchini anapenda kujifanya mtu wa usalama au serikali? We jamaa ni mpumbavu tu na unachoongea ni takataka.....
Uzi haufutwi kwa ajili ya matusi .Endeleeni tuzidi kufaidi ujinga wa BavichaMkuu hili jitu ni zwazwa, limekoma ubishi watu wote wameliponda linatamani liufute huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoto mdogo tu na mshamba tu yan hajui hata yeye anapata muda wa kuandika hicho kiupuuzi chake kwakua tu polisi wameimarish amani kwa ushirikiano na vyombo vingine vya ulinzi na usalama...ila polisi wasijali ipo siku huyu sosopi atafika tu c.r.o kupeleka mahitaji yake sasa nao wamkumbushe tu kua hatuwezi kukusaidia inabidi uende polisi wa Europe wakakusaidie
kufa bwege wew
Foolish foolKufa ni haki,lakini lazima tupamabane humu dhidi ya ujinga wenu na utovu wa nidhamu uliokithiri.