Ole Sosopi hana adabu

Ole Sosopi hana adabu

Kweli kabisa. Ndio maana mlipowaona ka tumbili mkawa pyuuu pyuuu bila huruma. Hasira ikawaka hadi risasi 38. Kweli kaone ka kapaka kyeusiiiii yaani kale kakichawiii kanakostahili kuuliwa mbaliiiii na mazishi akazike mwenyewe mwenye nacho. Kumbe tunadhani tunaishi na watu lakini ni mashetwani kabisa. Tumefika mahali pa kuwaona watu walio na mfano wa Mungu kuwa ni mapaka meusi!!!!! That is too much man. Sijui ccm hii imetoka wapi. Ile ya Nyerere ilienda naye kaburini nadhani. Kadi yangu inasema ati Binadamu wote ni sawa. Kumbe inatakiwa iseme; Yeyeto anayeipinga ccm ni Tumbili au Paka mweusiii.
Ndugu, nenda taratiiibu. Usidhani utawala huu ni wa milele
Hahahaaa basi sijibu tena maana naona na ww umeongeza kwenye kapaka..ila kiukweli nachukia wasaliti
 
Sasa asiseme ukwelk wajameni..

Ukweli unauma ila tuuseme tuu
Unamkosoa kwa kuwa tu kaongea mpinzani ila angeongea wa huku kwenye rangi ya mimea na rangi ya madini, ingekuwa sawa

Honestly i hate politics! Inawafanya watu kuwa wanafki sana, si ccm si chadema huwa ni wanafiki sana kwenye kutetea maslai yao, sasa anifunze nini kutoka viongozi wake wa juu, we umeona jeshi la polisi kuwasweka ndani viongozi wa polisi, kuua kina akwilina ndio weledi huo..
Yule tundu lissu watu wamemdungua mpaka leo kimya, mo alitekwa tukaletewa mapicha picha sasa uzuri wa hilo jeshi la polisi uko wapi..

Wengine huwa tunajinyamazia kwakuwa hatutaki makelele ila mnatukera na hizi nyuzi zenu za kishabiki ambazo zinakuwa ni za kipuuzi.

Sent using my nokia ya tochi
 
Jeshi la polisi lijitathmini kama lina uwezo/uelewa/weledi/elimu/nia/nguvu/ wa kukinda raia na mali zake.
Asilimia kubwa ya askari wa jeshi la polisi ni failures wa form four, wana weledi gani wa kulinda raia wakati mtihani tu wa kidato cha nne walishindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni bahati mbaya kwamba neno VITA UMELIONGEZA WW KWNY THREAD YANGU ILI kutimiza Kiu yako

Ni Bahati mbaya kwamba neno KUPIGANA WEWE UNAJUA humaanisha tu MAPIGANO YA KIVITA !!!!

unaonaje.. Kabla ya kukujibu nianze kukufundisha nini maana ya neno PIGANA ???

Ulipiganiwa na nani wakati Uhuru uliombwa New York!!!? Ninyi ndio mnaodanganya wasiojielewa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana Vita, hivyo kutaka kuulinda kwa gharama yoyote, wakati ninyi ni opportunists tu mliovizia matunda ya uhuru!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudhani kwamba hi nchi ina jeshi la polisi ni kosa kubwa kabla ya kosa lenyewe.
 
Back
Top Bottom