Ole Sosopi hana adabu

Ole Sosopi hana adabu

Senzige, najua kuwa wewe ni kada mtiifu wa ccm ambao umekulia na kulelewa humo. Natambua pia kuwa unawinda nafasi za uteuzi zilizokupita kando na kama mtoto wa kada hukuyatarajia haya ya kutokubebwa ili kumlipa fadhila mzee wako ambaye ni kada na kiongozi! Lakini, unatoka kwa kuanzia mguu mbaya. Unakaa nyuma ya cdm kutafuta makosa ambayo hutoyaona kwani hata huyo mteuaji maoni mengi anayachukua cdm.
Unajua hakuna kazi ngumu kama kuwatetea polisi?
 
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.

Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.

Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.

Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Ndio umeandika takataka gani Sasa hi!!!?
 
Kila nafsi itaonja mauti,ya nini kudharauliana na kutishana sasa?
 
This country!I wish I could be somewhere enjoying!lakn nchi yangu inakeraaaa,if I get guns today..........
 
Umeongea Ukweli lkn HAUJAWA IMPARTIAL
Ukweli ninyi pia ndio ambao mnataka nchi Hii isiwe na Serikali..SABABU NI KWAMBA MNAPINGA KIIIILA KITU AMBACHO NCHI KUPITIA SERIKALI ILIYOWEKWA MADARAKANI KIHALALI INAFANYA.. KWENU HAKUNA JEMA HATA MOJA.. HATA UHURU NA AMANI INAYOKUFANYA UPATE MDA WA KUINGIA JF NA KUJIBU/KUSOMA THREADS KWENU MNAJUA AMANI HII ILISHUSHWA TOKA MBINGUNI.. na wala siyo JUHUDI YA SERIKALI KUPITIA JESHI LA POLISI.. How funny it is !!!! HAMFAHAMU KUWA ILIPIGANIWA !!!

So mawazo yako ni sahihi lkn The vice versa is true

TUJITAFAKARI SOTE KAMA LENGO NI KUTOKA HAPA TULIPOKWAMA

Kwa hali hiii sijui ninyi watu mnataka nchi hii mbaki nyinyi tuu! Maana kila kitakacho ongelewa na upinzani nilazima mkikosoe Na kukipinga kwa kila hali, basi tafakarini hayo mnayo sikia kwa kina alafu jiulizeni yana ukweli kiasi gani ?kabla ya kutoa shutuma nyiingi.TANZANIA NI YETU IFIKE MAHALI TUIJENGE NCHI KWA UMOJA SII KWA CHUKI NA VISASI. Ni maoni tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea Ukweli lkn HAUJAWA IMPARTIAL
Ukweli ninyi pia ndio ambao mnataka nchi Hii isiwe na Serikali..SABABU NI KWAMBA MNAPINGA KIIIILA KITU AMBACHO NCHI KUPITIA SERIKALI ILIYOWEKWA MADARAKANI KIHALALI INAFANYA.. KWENU HAKUNA JEMA HATA MOJA.. HATA UHURU NA AMANI INAYOKUFANYA UPATE MDA WA KUINGIA JF NA KUJIBU/KUSOMA THREADS KWENU MNAJUA AMANI HII ILISHUSHWA TOKA MBINGUNI.. na wala siyo JUHUDI YA SERIKALI KUPITIA JESHI LA POLISI.. How funny it is !!!! HAMFAHAMU KUWA ILIPIGANIWA !!!

So mawazo yako ni sahihi lkn The vice versa is true

TUJITAFAKARI SOTE KAMA LENGO NI KUTOKA HAPA TULIPOKWAMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipiganiwa na nani wakati Uhuru uliombwa New York!!!? Ninyi ndio mnaodanganya wasiojielewa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana Vita, hivyo kutaka kuulinda kwa gharama yoyote, wakati ninyi ni opportunists tu mliovizia matunda ya uhuru!!!
 
Shule hapa ni sifuri.Bahati mbaya sana vijana hawa wanajifanya wanajua kila kitu kakini hawaelewi hata vita vya majimaji na vita alivyopigana Mkwawa vyote vilikuwa na harakati za kujikomboa.Hawa watoto wa bavicha wasameheni tu kwa sababu wao historia yao inaanzia siku ile wanapozaliwa tu na hata yaliyowahusu baba zao mama zao kwao hawana habari nayo.
 
Ile ilikuwa ni resistance wasitawaliwe. Walishindwa wakatawaliwa na Wajerumani na baadaye kuwekwa chini ya uangalizi wa Uingereza, kisha Nyerere akaenda UNO kuomba Uhuru, siyo kupigania. Mwingereza alitoa uhuru kirahisi bila chuki.
Lakini angalia Hawa wakoloni weusi walivyokuwa na roho za korosho. Wako tayari kummiminia mtanzania mwenzao risai 38 kama wanapiga tembo ili mradi watawale bila kukosolewa!!! Kama hiyo haitoshi wakazuia asiombewe hata kwa Muumba wakiamini wanaweza kumhodhi hata Mungu. Aibu kwao na vizalia vyao!!! Wakazuia hata fedha, wasitafakari kuwa Mmiliki wa viumbe vyote alishasema: "Dhahabu ni mali yangu, na fedha ni mali yangu!!!"
Amepona, hawataki azungumze, kama huu si wazimu ni nini hasa!!? Narudia: "Mkataa pema, pabaya panamwita."
 
Una point nzuri saana lakini huna uwezo wa kuzileta mbele za watu. Kwanza kabisa nadhani hayo maneno yangelitoka kinywani mwa mwana ccm yeyote wa ngazi yeyote hata balozi wa nyumba kumi, wewe ungetulia kwanza halafu umchambue uuone ukweli wake. Lakini kwa kuwa tu limetolewa na mpingaji, wewe hukumlazia damu.
Wazo langu tu ni kuwa; Tulia kidogo, umchunguze huyo Sosopi uone kama kuna ukweli ndani yake au la. Hebu fikiri; Kama "Mpingaji" yeyote anataka hata kufanya besidei yake tu kitaa anahitaji kibali cha polisi asijeambiwa; "Umefanya mkutano wahadhara". Lakini mjumbe wa shina anatamka kuwa njoo kwenye mkutano wa hadhara pale uwanja wa sokoni kesho. Ukikosa utabambuliwa. Wote tunaenda na anahutubia mtu mambo ya siasa na kuwaponda hao wapingaji kwa masaa mengi tu wala hao polisi hawawazuii. Weye unaona haki hiyo?
Sosopi kawaambia, Jitathiminini. Tusi liko wapi hapo? Huyo ni Sosopi mtu sio "kajitu"
Mi kwangu sio mtu ni aina flan hivi ya ka paka tena keusiii na usinilazimishe nimuone ni mtu...ni haki yangu ku tafsiri ninachokiamini
 
Kweli kabisa. Ndio maana mlipowaona ka tumbili mkawa pyuuu pyuuu bila huruma. Hasira ikawaka hadi risasi 38. Kweli kaone ka kapaka kyeusiiiii yaani kale kakichawiii kanakostahili kuuliwa mbaliiiii na mazishi akazike mwenyewe mwenye nacho. Kumbe tunadhani tunaishi na watu lakini ni mashetwani kabisa. Tumefika mahali pa kuwaona watu walio na mfano wa Mungu kuwa ni mapaka meusi!!!!! That is too much man. Sijui ccm hii imetoka wapi. Ile ya Nyerere ilienda naye kaburini nadhani. Kadi yangu inasema ati Binadamu wote ni sawa. Kumbe inatakiwa iseme; Yeyeto anayeipinga ccm ni Tumbili au Paka mweusiii.
Ndugu, nenda taratiiibu. Usidhani utawala huu ni wa milele
 
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.

Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.

Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.

Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Huyo akiingia anga zangu namg'oa tu meno ya sebuleni yote anywe uji kwa.urahisi zaidi,na akiwa anaongea maneno yamtoke vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.

Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.

Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.

Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.

Tena hana adabu kabisa na heshima mbovu hii inaonekana ni ya kurithi.Kitoto kidogo kinadiriki kusema eti jeshi zima la polisi lijitathmini.kauli za kishenzi hizi sio za kuachia hivihivi.Kwanba lijitathmini kuanzia kwa amiri jeshi wake? Kauli hizi za kifedhuli ,maringo na kutaka sifa nina imani zina mwisho na huyo Ole bavicha atanyooka tu kama wengine ambao sasa wanataka rais avunje katiba ili wapate huruma yake.
 
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.

Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.

Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.

Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Yule ni Mmasai sio Mbantu mlaini laini na mnafiki kama wewe ngumbaru.

Sio kila mtu wa kutishwa akatishika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom