Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.