Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,240
Bunge limepwaya mmebaki humo ndani peke yenu kama wachawi.
Acha kukalili kila kitu anachoongea mbowe,acha ufia chama usio na maana na usome thread vizuri sio unahemkaHili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Wafute neno bunge waseme wanafanya vikao vya chama tujue mojaBunge limepwaya mmebaki humo ndani peke yenu kama wachawi.
Kwa umri huo jamani... tuwe na utu basi...Akarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .
Uwakilishwaji wa kugonga dawati! Tuwe na utu basi...si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
Mtoto umleavyo...Teeeeeeh teeeeeeeeeh, maccm ni kichekesho wao wanacho jua ni kuzomea na kushangilia tu bungeni badala ya kuwatetea wananchi
Ah bi mkubwa upo ?! Siku hizi kama umepoa hivi ?! Kwa uelewa wako hutakiwi kuunga hayo ya kutokuwa liveWamesusa kwa ajili hawaoneshwi live!
Ah bi mkubwa upo ?! Siku hizi kama umepoa hivi ?! Kwa uelewa wako hutakiwi kuunga hayo ya kutokuwa live
Sendeka anweza kujitetea kwa kuwa alisoma PCB , mbowe atajitetea nini kwa HKL ,maana matokeo ya sendeka ukiziba jina ukaweka la mbowe hayana tofautiAkarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .
Umewahi daku naona kwa swali lako kinyume chake kinamsaidia nini mTz ?!Hivi kuwa live kunamsaidia nini Mtanzania?
Acha kukalili kila kitu anachoongea mbowe,acha ufia chama usio na maana na usome thread vizuri sio unahemka
Umewahi daku naona kwa swali lako kinyume chake kinamsaidia nini mTz ?!
Wewe ni msomi muelewa mnapokuwa Lumumba wapeni ushauri chanya. Kukosolewa kusiirudishe nchi karne ya 19
Ni wazi swala la ukawa kutokuingia bungeni linawasumbua na ndomana wakawakataza kufanya mikutano na kutokuwalipa posho, hiyo yote ni ili tu kuwabana ukawa wahudhurie vikao vya bunge akat tuli akiwa kwenye kiti. ila wamebughi men..Alishindwa kuwashawishi wapiga kura wake wamchague leo hii ndio aweze kuwashauri ukawa?
Kwann asimshawishi tulia ajiudhuru,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sendeka ni mtu mzima katumia busara kuwashauri wenzake, siasa si ugomvi kaka
Na mwenyekiti wetu nae arekebishe .
Na wabunge wa ccm wenyewe wanataka ukawa wahudhurie vikao manake walvoskia ukawa hawatapata posho walishangilia,Bunge limepwaya mmebaki humo ndani peke yenu kama wachawi.