Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
 
si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
labda utaratibu wa chama kimoja urudi............. ndg
 
Kati ya watu ambao unahitaji ufahamu mdogo kuwaelewa ni Sendeka!!! Ukitumia akili kubwa hutomuelewa kamwe.
 
labda utaratibu wa chama kimoja urudi............. ndg
hizi ni siasa za kiushindani kaka, kama walitarajia thing to go on their way wali forecast vibaya. toka vyama vingi vianze hakuna session zilikuwaga fair.
 
Alishindwa kuwashawishi wapiga kura wake wamchague leo hii ndio aweze kuwashauri ukawa?
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sendeka ni mtu mzima katumia busara kuwashauri wenzake, siasa si ugomvi kaka
 
Hili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Hao ndio viongozi wetu wa ccm
 
Angewashauri wabunge wa ccm waache kushangilia kila kitu hata Kitwanga wakimshabgilia akiwa kalewa
Teeeeeeh teeeeeeeeeh, maccm ni kichekesho wao wanacho jua ni kuzomea na kushangilia tu bungeni badala ya kuwatetea wananchi
 
Mara ngapi CCM wamepitisha hoja zisizo na manufaa kwa jamii?
 
nikifuatilia matukio naona uhusiano wa karibu kati ya katazo la polisi kwa vyama vya siasa na tamko la sendeka la kujibu mapigo ya ukawa, huu ushauri ni mwendelezo tu .....................
Upo sawa kabisa mkuuu
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sendeka ni mtu mzima katumia busara kuwashauri wenzake, siasa si ugomvi kaka
Busara baada yakuona maji ya shingo mnafikii to analolote
 
Back
Top Bottom