Bikira Yangu
Member
- Jun 7, 2016
- 28
- 72
Hili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada."Nawashauri viongozi wa upinzani kukaa chini na kutafakari hatua yao ya kususia Bunge kwani haina manufaa kwa jamii"
Source: Christopher Ole Sendeka
Msemaji wa CCM
View attachment 355511
Tatizo elimu au tumbo?Hili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Kuwa makini na avarta yako.Tatizo elimu au tumbo?
Avarta yangu inahuu? Ukimaliza kuandika nenda kwa baba Jessica ukachuke buku5Kuwa makini na avarta yako.
nikifuatilia matukio naona uhusiano wa karibu kati ya katazo la polisi kwa vyama vya siasa na tamko la sendeka la kujibu mapigo ya ukawa, huu ushauri ni mwendelezo tu ....................."Nawashauri viongozi wa upinzani kukaa chini na kutafakari hatua yao ya kususia Bunge kwani haina manufaa kwa jamii"
Source: Christopher Ole Sendeka
Msemaji wa CCM
View attachment 355511
Hivi F6 alipata ngapi vile? Tukumbushane jamani."Nawashauri viongozi wa upinzani kukaa chini na kutafakari hatua yao ya kususia Bunge kwani haina manufaa kwa jamii"
Source: Christopher Ole Sendeka
Msemaji wa CCM
View attachment 355511
Akarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .
Na mwenyekiti wetu nae arekebishe .Akarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .
bora umesema wanazani wao walivyo susia elimu basi wote tunasusa tuuuuHili ndilo tatizo la kuwa na walio kosa elimu kupewa uongozi. Kwan UKAWA wamesusia vikao vya bunge au wana mgogoro na naibu spika? Acheni kuhamisha mada.
Hahahaha...Akarekebishe matokeo yake ya kidato cha sita kwanza .