Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

Ole Sendeka atoa ushauri kwa UKAWA!!

si wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.
Sasa hivi hali imekuwa kinyume,kuichagua ccm ni kupoteza wawakilishi kabisaaaaaaaaa
 
kwa haya yanayoendelea bungeni na yanaharibu taswira nzuri ya serikali iliyoko madarakani iliyoanza kujengeka kwa wananchi wanyonge hata wale waliomchagua lowasa tayari walishabadilika na kumkubali jpm.

sasa hiki kinachotokea kinavunja moyo wananchi.

bunge liitishe kikao cha muafaka wasonge mbele mbona sisi mahodari kusuluhisha migogoro ya majirani?
 
punguza jaziba mkuu, maji ya shingo kivipi wakati budget zinapita tu!!!!
Wapitishe wao asa nn anataka kuleta unafiki kwan marangap wanapitisha wao wenyewe to
 
mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, sendeka ni mtu mzima katumia busara kuwashauri wenzake, siasa si ugomvi kaka
Kwa tanzania siasa ni ugomvi mkubwa sana
 
haya mambo hayataki hasira ndugu ndo siasa hizo
Sio asira kuna vitu vinakera sana nainakera zaid palea mtu anapoleta unafiki wakati anajua kabisa tatizo ripo wap
 
washabiki tu ndo wanakuwaga na ugomvi, ila wao wenyewe hata nyep wanapeana bila stress.
Kwani nani kakudanganya kuwa siasa ni magari ya kifahari, siasa ni watu wapenzi na wakereketwa
 
hizi ni siasa za kiushindani kaka, kama walitarajia thing to go on their way wali forecast vibaya. toka vyama vingi vianze hakuna session zilikuwaga fair.
kumbe unatambua ss washindane kwa hoja cyo kigezo cha kupata nafac ya kuunda serikali ndio fulsa ya kuwabana wengine kwani wapinzani wao ndio wanakosea cku zote? tatizo wanaeleza ukweli na watawala wanakosa hoja wanalazimika kutumia vbaya nafac zao tuuu
 
kumbe unatambua ss washindane kwa hoja cyo kigezo cha kupata nafac ya kuunda serikali ndio fulsa ya kuwabana wengine kwani wapinzani wao ndio wanakosea cku zote? tatizo wanaeleza ukweli na watawala wanakosa hoja wanalazimika kutumia vbaya nafac zao tuuu
mimi naona iki ni kipimo cha uvumilivu zaidi, things do change kidogokidogo na sio over one night
 
mimi naona iki ni kipimo cha uvumilivu zaidi, things do change kidogokidogo na sio over one night
uvumilivu gani mtanzania mwenzangu kumbuka watawala hawa wanasababisha watanzania wengine kushindwa kupata haki ya msingi ya mpiga kura kushindwa kuwakilishwa kwa sababu ya matakwa ya wachache
 
Back
Top Bottom