ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Wanakuharibia pose unaposhangilia kila kitu hata kukosa sukarisi wajiuzuru kabisa na huo ubunge ndo ntajua wako serious sio kukaba nafasi tu bila kufanya kazi, vinginevyo ni abuse of power. kuchagua wapinzani very risk katika kuwakilishwa.