Cuthbert swai anamaliza hela zake bure, sabata ni level nyingine
Ni kweli huyu Sabaya ni level nyingine kwasababu hana akili timamu ni kichaa!! Mimi sijamuita kichaa bali yeye mwenyewe alijita hivyo alipokuwa anamyanyasa Mzee mmoja Captain Mstaafu wa Jeshi nyumbani wake hayo Hai!!! Ukiona clip ile anapomyanyasa afisa yule wa Jeshi Mstaafu utajua kwanini watu wanampigia kelele kuwa hafai kuwa kiongozi!! Mtu yeyote asiyekuwa na adabu kwa Wazee hafai kuwa kiongozi.