Ole Sabaya akamatwa pamoja na mabaunsa wake. Ahojiwa na Vyombo vya Dola

Ndugai, Chalamila, Mnyeti, Jerry Muro na RC Mtwara japo amefukuzwa karibuni
Huyu Mnyeti ndo nyeti zaidi kuliko wote. Huyu ndo muasisi wa mission ya kushawishi makada wa upinzani "kuunga mkono juhudi"
 
Daah huyo jambazi alikua anaiba live bila chenga anatoka Kilimanjaro kukagua maduka na risiti za TRA Arusha daah kweli jamaa kiboko...
 
Hii habari mbona kama ni mwendelezo wa habari na sizani kama ni kweli kakamatwa ama la.
 
Magu angetawala hata miaka 10 tungepata kina Sabaya kama 20 hivi. Watatu tayari wapo, Makonda, Sabaya na Heri James.
Ndugai, Chalamila, Mnyeti, Jerry Muro na RC Mtwara japo amefukuzwa karibuni
Sante we nilisahau Jerry Muro, Mnyeti anaenda na beat ya mziki. SASA hivi katulia keshajua mama hakufundishwa dhulma na wazazi wake.
 
Magu angetawala hata miaka 10 tungepata kina Sabaya kama 20 hivi. Watatu tayari wapo, Makonda, Sabaya na Heri James.

Sante we nilisahau Jerry Muro, Mnyeti anaenda na beat ya mziki. SASA hivi katulia keshajua mama hakufundishwa dhulma na wazazi wake.
Poa
 
Chalamila mbona mtu poa sana mkuu? Labda ule ucomedy wake tu, ila mengine naona yupo poa, and kipindi cha Magu wateule wote walichizika, si ulimuona Kabudi akinywa zile takataka za Covid from Madagascar?
Ukimtaja Kabudi usimdahau Mollel na mwenzake.

Kuna Naibu Waziri mmoja alionesha afya ya akili yake, lakini baada ya kuwekwa kwenye mawasiliano kila kitu kimeenda kombo.
 
Back
Top Bottom