Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Weye huutaki ukongwe? najaribu kuwaza baada ya miaka 30 utafunguliwa uzi kisha wazee wa wakati huo ujao watakapoanza kufunguka kuhusu mwamba na man fongo huku vijana wa wakati huo wakiwa wadadisi kutaka kujua man fongo alikuwa mahiri kiasi gani! najikuta nauheshimu wakati na zama zake.Kwa hiyo unatuona Wazee sana sio?
[emoji445]Tell me how to win your heartOr someone's loving youuu....
Mimi huwa inatokea tu naupenda wimbo no matter ni wa zamani kiasi gani.Wadada wanaopenda old school hits hua wananivutia sana really..halafu wagumu kupatikana..hit gan nyingine unaikumbuka nifah [emoji5][emoji5][emoji4]
Isijekuwa ndio yeye kati ya hao washkaji zako waliozikuchua [emoji23][emoji23][emoji23]Nlikua nazo kuna washkaj nao wa kitambo walikuja kuchukua hawajanirudishiaga sjapata mda kwenda kuzitafuta cd mpya na kuna nyingine hamna nyimbo zote yan ntaku pm mkuu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wow...interestingMimi huwa inatokea tu naupenda wimbo no matter ni wa zamani kiasi gani.
Kama huu wa Hello...nilitokea kuupenda mwaka 2009 coz my first love alikuwa anampenda sana Lionel Richie [emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Isijekuwa ndio yeye kati ya hao washkaji zako waliozikuchua [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana JF hii ya fake Id's taabu tupu.
Wa ballerina girl wa lionel ritchie je?? Au kitu "all night long"Mimi huwa inatokea tu naupenda wimbo no matter ni wa zamani kiasi gani.
Kama huu wa Hello...nilitokea kuupenda mwaka 2009 coz my first love alikuwa anampenda sana Lionel Richie [emoji85][emoji85]
Ballerina Girl ni habari nyingine mkuu.Wa ballerina girl wa lionel ritchie je?? Au kitu "all night long"
I call it love dedication to@platozoomBallerina Girl ni habari nyingine mkuu.
Na "I call it love" je?
Jamaa anajua bwana.
I call it love unanikumbusha mbaliiiii...I call it love dedication to@platozoom
I like the song mnoo!!
Bila kusahau kundi zima la kimulimuli jazz, chini ya uongozi wa zahoro ally.Tancut almas ya kina kasaroo kyanga na kyanga songa.....
Achana na wale watu aisee...!!..
Umesahau kokoliko, super ngedere. Hii ilikuwa ndani ya ukumbi wa lang'ata.Marahaba kwa niaba yake.
Najua ulikuwa Mtoto sana enzi za kina Black Moses, Mc Digadiga.
Nyimbo za kina Marijani Rajabu, Mbaraka Mwishehe na Cuban Marimba
Unajua kisa cha Watu kuitwa "kilaz.a"?
Uzee raha!!!!