Old School Special Thread

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] safi sana!!
wazee enzini taifa sie bado kwanza!
Almarhumu juma mrisho (ngulimba wa ngulimba )lakini ukiwa wapenda miziki basi mziki wowote mzuri utapenda kuanzia vyombo mpaka mpangilio wa sauti kuna kipindi Charles hilary alifanya mambo na watu wakavutiwa na charanga bila kujua maneno yana maana gani ila midundo ilivutia watu so kuna mambo kemkem mtu anaguswa katika muziki
 
Umenikumbusha mbali saana
 
Shikamoo baba tena na tena!!
 
Km bado unapendelea kusikiliza ngoma kali za hao jamaa, ni PM nina mzigo wa kutosha...90s hip hop ndio burdani yang
 
Hello...it's me you looking for
I wonder where you are & I wonder what you do...
Are you still lonely or...
Huu wimbo naupenda sana.
Wadada wanaopenda old school hits hua wananivutia sana really..halafu wagumu kupatikana..hit gan nyingine unaikumbuka nifah [emoji5][emoji5][emoji4]
 
Km bado unapendelea kusikiliza ngoma kali za hao jamaa, ni PM nina mzigo wa kutosha...90s hip hop ndio burdani yang
Nlikua nazo kuna washkaj nao wa kitambo walikuja kuchukua hawajanirudishiaga sjapata mda kwenda kuzitafuta cd mpya na kuna nyingine hamna nyimbo zote yan ntaku pm mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…