Sidhani kama Tanzania tushawahi kumiliki Ndege kuanzia kuanzishwa kwa Taifa letu, hii ndo mara ya kwanza tuna ndege zetu tulizonunua kwa fedha zetu wenyewe, someni Historia vizuri, hizo ndege zote kwenye Picha zako hatukuzimiliki tulikuwa tumezikodisha nyingine ktk Kenya Airways na mashirika mengine.
Ndo maana kwangu mimi Raisi Magufuli ndiyo raisi bora kuwahi kutokea nchi hii, hivyo hata ukituona tunasherehekea hivyo mnavyoviita vibajaji ni kwa sababu ni mara ya kwanza kwetu kumiliki Ndege, hivyo ni ,,Bajaji" ya kwanza, isitoshe kila kitu ni relative kuna wanao miliki Airbus Beluga kwa mara ya kwanza na kuna wanaomilikia ,,vibajaji" kama sisi!
Lkn Raisi Magufuli ataifikisha hii nchi mahali ambapo haijawahi kufika tangia ianzishwe!