Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
kwa kip ccm kizuri mmeifanyia hii nchi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Mit 26:4-12
 
Mu bebi
 
Mbona sakata la utekaji waziri mweny dhamana hatajwi ? Kipind cha umeme alikuwa anatajwa ,fedha mbona anatajwa.
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Mtapasuka msamba shauri yenu, (nrne) ya wananchi kwa sasa
 
Mods naomba muupeleke huu uzi jukwa la siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…