Oktoba tunatiki challenge target 5k replies

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Iyo Oktoba katiki na bibi yako kule kijijini aliyeezeka nyumba yake kwa makuti
Unasusa susa kudadeki kwa sauti ya haji manara
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Your browser is not able to display this video.
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Unatiki kuruhusu nchi kuuzwa, kutekwa, kuuwawa kwa mzee kibao nk.
NO REFORMS NO ELECTION
 
Unasusa susa kudadadeki kwa sauti ya haji manara
 
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa mabwege mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Narrow minded CCM,
Nilitegemea muwajibu sawa na madai ya No reform no Election, kinyume na hapo you are messing dude!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…