Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025


Kijana aliyeketi na Rais Yoweri Museveni ni Abdul Halim Hafidh Ameir, mtoto wa Rais Samia Suluhu Hassan. Anahudumu kama mkuu wa Idara ya Ujasusi na Usalama Tanzania (TISS) na inasemekana ndiye anayeongoza kikundi maarufu kinachojulikana kama "Watu Wasiojulikana." Anadaiwa kuendesha kikosi cha utekaji Tanzania! Credit: The Kenyan Vigilante

The young man seated with President Yoweri Museveni is Abdul Halim Hafidh Ameir, the son of President Samia Suluhu Hassan. He serves as the de facto head of the Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) and is reportedly directing the notorious group known as “Watu Wasiojulikana.” He is accused of running an abduction squad in Tanzania!
Credit: The Kenyan Vigilante

#Oktoba29Tunatoka #SamiaMustGo #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa #riseupTanzania
 


#Tanzania #HakiYaKujumuika #SiriNiNumbers #Oktoba29Tunatoka 📌 🇹🇿 #SamiaMustGo #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania
 
#OktobaTunatoka ⚠️📌🇹🇿
 





Mo29-Oktoba29Tunatoka siku 3!​

Jump to newUnsubscribe
•••
[IMG alt="Matovu Godfrey"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/823/823182.jpg?1759869722[/IMG]

Matovu Godfrey

JF-Expert Member​

Number 3 is a magical number 🔥
Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka
#MO29 is a movement 💪🏽










[IMG alt="Matovu Godfrey"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/823/823182.jpg?1759869722[/IMG]

Matovu Godfrey

JF-Expert Member​



Utu umepotea, Ubinadamu umepotea, Tanzania imegeuka uwanja wa kuwinda roho za Watanzania

Mambo kama haya kufanyika kwenye nchi ambayo inatakiwa kutawala kidemokrasia ni hatari sana



[IMG alt="Matovu Godfrey"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/823/823182.jpg?1759869722[/IMG]

Matovu Godfrey

JF-Expert Member​

‼️IMPORTANT‼️
MADAI YETU 👇🏾 MAANDAMANO SI VURUGU‼️
Ndo maana tuliandaa madai yetu mapema! Hawa wahariri na ma celeb waliokuja na tamko sijui onyo hawajajibu hata ishu moja! Ongeleeni haya madai!
Tulijua mtakuja kutufanyia GASLIGHTING sasa mmekwama! Hamjajibu hoja hata moja! Maandamano ni kwa sababu MMEPUUZA wananchi!

These are our demands in a nutshell as the people of Tanzania
We demanded these BEFORE election and the response of @SuluhuSamia and her cabal was more repression
That is why citizens are planning to protest!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…