Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Oh, weekend imeshawaendea vibaya!

Mzee Invisible, Si useme tu kuliko kuturusha roho. Sisi wahusika utatuua kwa presha bora useme ili atakapotangaza presha iwe imepungua kuliko kutupa aibu ya kuzimia.

Chonde chonde tuambie basi, maana kutuficha kutaleta aibu hata kwa wake zetu. Twaweza kujikuta tumeharisha kitandani.

Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!

Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.

Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.

Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?

Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!

Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!
 
Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!

Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.

Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.

Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?

Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!

Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!

Mkuu Invisible,

Mbona j3 ndiyo inayoyoma wala hamna lolote??
 
Mkuu Invisible,

Mbona j3 ndiyo inayoyoma wala hamna lolote??

Liongo sana liinvizibo hivi wewe bado unaliamini? Hahahahaha lilikuwa kinafanya ushushushu! Halafu na mzee wa tezi dume kaduwaa ukawa wanabeba viti tu! Hahahahaha kaona majizi yanaleta balaa! Linchi hili la mapumbavu!
 
Tatizo kubwa la watanzania ni kufuata mkumbo,na nilisema huyo jamaa alikua anafanya ushabiki wa siasa na kwamba yeye nae kumbe ni bavicha
 
Invisible kama mwenyewe hataudhibiti pia uwezo wao, watageuka kuwa wasumbufu wakitumia nguvu waliyoikusanya kupitia pale walipowekwa na mwenyewe. Natumai atawanyang'anya virago na kila walichobeba bila kupewa kihalali ili wasiende mtaani na kujitapa huku wakitafuta mganga wa kuwaloga waliosababisha mwenyewe akajua uroho wao.

Hivi nyie jamaa mnamuaminia sana huyu muongo eehh? Invizibo hana lolote wakuu! Toka escrow hadi leo kawa muongo kabisa! Yaani mie nina data nyeti kuliko hili liongo kabisa! Uliona wapi mipasho mtoto wa kiume? Hahahahaha mnamuogopa sababu ni modi? Mi ashanilamba sana bani kwa sababu sipendi upumbavu!
 
Last edited by a moderator:
umesomeka invisible* wenye macho tumeona! wasioona jitahidini muone! ila bado wengine ambao sio ma...ri tunasubiri 'their fate' to be disclosed

We binafsi umeona nini kwa mfano? Acha kujipendekeza kwa wanaume! Umeona nini sasa hebu sema! Mmeanzisha ujinga wenu namaaidi kumikumi? Mnadhani hatujui?
 
invisible hapa ungeficha upumbavu wako lakini umeficha hekima yako... subiri baada ya muda mfupi kuanzia sasa na sikiliza habari utaona ndoto yako ni ya ndaria

Mi hili jamaa nalichukia sana siku hizi! Kawa ccm sana na kawa muongo sana!
 
Ndugu Usiyeonekana, siuoni ukurasa wa 14 wa ripoti ya CAG katika ambato ulilotuwekea humu JF, nauomba haraka sana (dharura) - kama huwezi kuuweka humu nitumie kwa barua pepe sasa hivi tafadhali!

Viroba bana! Sasa utafanya nini na page moja? Hivi we mzima kweli?
 
sisi kina gogo la shamba mwisho wa siku tulizompa Kikwete ni leo,asipotoa maamuzi leo ajue kilichompata Zitto ndicho kitakachompata atachukiwa katika maisha yake yote yeye na familia yake na asahau kutokea ndani ya familia yake kuwe na mwana siasa wa kueshimika na mwisho wao lazima kuwe na majuto

Punguza viroba! Haya leo jumanne sema sasa uharo wako!
 
pressure za wahisani tu.akiwaondoa mawaziri ataambiwa ahakikishe Seth amerudisha pesa ndo wapewe misaada.ni upumbavu kwa nchi tajiri kama Tanzania kutegemea misaada

Utajiri wa Tanzania wewe binafsi unaupimaje? Story za vijiweni wewe unaziamini? Bwana mabusha hajui kwa nn nchi yake maskini sembuse wewe pangu pakavu?
 
Serukamba na matusi yale Bungeni. Au .. Anarubuniwa kwa kuwa alishauri kuitaifisha mitambo ya IPTLna benk zilizohusika zibanwezirudishe ela wakati wa mjadala wa escrow bungeni.
 
Sisi tumegawana mitaa kama walivyogawana pesa za escrow kwenye rumbesa na viroba waendele na sisi huku ni mbele kwa mbele hakuna kulala
 
Kiuungwana kabisa kabisa, hapa mleta mada anatakiwa atuombe radhi... Kwa kutuaminisha kuwa Jumatatu kunajambo litatokea, halafu halikutokea. Vinginevyo aje atueleze alikuwa ana maanisha nini!!
 
Mtabiri hafungwi... mwenyewe akinusa imevuja anaweza kupotezea kulinda staha yake au a kina nanihii wakamwambia mkuu isiwe leo. Ila hili laja na haliepukiki.
 
hossam sijawa muongo bali ni ccm haswaa...soma magazeti ya leo hasa mwananchi uone matokeo na jinsi tulivyozoa viti..ninyi bado mnajikongoja
Mi hili jamaa nalichukia sana siku hizi! Kawa ccm sana na kawa muongo sana!
 
Have already said..... Hakuna kurudi nyuma Tanzania njema kuzaliwa is a must!

Niwarudishe kwenye uchaguzi wa mitaa maana hao wanaowekwa wacha waendelee kudunduliza pension yao kabla ya kuzamishwa bahari ya Sham; ile nguzo kuu ya kuhakiki uchakachuzi katika serikali ya mitaa UKAWA wameikata......

Ama kweli hii weekend ni mbaya hasa kupita ufahamu wa mwanadamu....

Jehova shalom libarikiwe jina lako kuu la wakati huu Jesus Christ of Nazareth.....You are truly ancient of days!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom