thubutu ! Mpoto ajue haya ?
naombea hilo litokee then kila mmoja atapata hiyo pinch ya upuuzi wao, kwa sasa dawa hazipo hospitalini hali hii ita persist, miradi inayo tegemea vyanzo hivyo itasimama, mishahara itaanza kulipwa tarehe 42, na baadaye watumishi watakopwa kwa miezi kadhaa, sarafu ishaanza kushuka na itazidi kuporomoka,malalamiko kwa serekali yataongezeka...............I have a very strong feeling kuna warning ya ban, hakuna kubarizi states. Akaona nani anataka kukosa mitoko. Kwa ubinafsi hawa viongozi wetu walio nao wako tayari kabisa kukosa hizo fedha za donors, hawajali shida za wabongo hata.
kama busara ni hiyo ya kutukuza wizi na uvivu, Mungu aniepushe nayo!Busara inanishawishi niishie kusema "pole sana ndugu...!"
Nikisema hujielewi na kama unajielewi basi hufahamu unaongea nini basi bila shaka nitakuwa nimekutafsiri vile unavyostahiki...kama busara ni hiyo ya kutukuza wizi na uvivu, Mungu aniepushe nayo!
Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!
Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.
Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.
Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?
Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!
Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!
Ni ubatili juu ya ubatili, asiye jielewa anapotoa somo la "kujielewa"Nikisema hujielewi na kama unajielewi basi hufahamu unaongea nini basi bila shaka nitakuwa nimekutafsiri vile unavyostahiki...
Fairness has never been practical, same with equal and the likes!!!
Wenye macho wameona, miwani kama hujanunua basi vuta subira... Jumatatu "Si mbali"
Hata hawakutarajia ingekuwa hivi!
Wengine hata najua wazi hawana taarifa na kinachoendelea juu yao. Lakini kaamua, liwalo na liwe.
Mmefanya vema mliofanikisha juhudi za kumpa majina ya ziada; atakuwa aliudhika kukuta aliowaamini nao ni nyoka.
Kafanya jambo jema; lakini kama atafanya hivi bado wale jamaa watalegeza kamba? Kuongezeka kwa watuhumiwa kutaleta neema kwetu kama nyumba?
Naam, weekend imewaendea vibaya; ambao hawakutarajiwa ndo watalia na kusaga meno. Mwaka unaisha vibaya kwao!
Lakini, kilio chao ni kicheko cha wengine! Wenye macho wameona... Wengine vaeni miwani mtaweza soma!
I think your post mean to someone anayetoa somo la kujielewa, nikukumbushe, la ngu ni la kutojielewa na hapa ubashiri umetimia!Ni ubatili juu ya ubatili, asiye jielewa anapotoa somo la "kujielewa"
wale wale wa ukoo wa shekh Yahaya!??????I think your post mean to someone anayetoa somo la kujielewa, nikukumbushe, la ngu ni la kutojielewa na hapa ubashiri umetimia!
Pole nyingine ikufikie popote ulipo manake kwa mara nyingine unathibitisha hujielewi kwamba unajipa daraja la Sheikh Yahya pale unapopiga ramli na kuona nami ni mmoja wao! Unatumia TV ya asili au maji kwenye beseni?wale wale wa ukoo wa shekh Yahaya!??????