Huyu jamaa hata sijui kaonyeshwa na nai hiki kiwanja maana aliponiambia nimkute hapo nilijua anatania kumbe keshafika kitamboo na ndovu kama 8 keshazipiga chini, hivi sasa anashushia na hii makitu
![]()
Copy to: Paloma, Madame B, ladyfurahia, Kipaji Halisi, Asprin, amu, Mentor, cacico, KakaKiiza, Teamo, Ruttashobolwa, @Kaizer, Jiwe Linaloishi
Huyu jamaa hata sijui kaonyeshwa na nai hiki kiwanja maana aliponiambia nimkute hapo nilijua anatania kumbe keshafika kitamboo na ndovu kama 8 keshazipiga chini, hivi sasa anashushia na hii makitu
![]()
Copy to: Paloma, Madame B, ladyfurahia, Kipaji Halisi, Asprin, amu, Mentor, cacico, KakaKiiza, Teamo, Ruttashobolwa, Kaizer, Jiwe Linaloishi
rutta upo pande hizi nini!? nipo lunchtime hapa ila after nusu saa naenda zangu buguruni nikakamilishe ratiba ya "chairfire"
utampaje ofa a ndovu mtumiaji wa banana?