Oh Mama! ErickB52 ndani ya "Leo Tupo Hapa Pub"

Oh Mama! ErickB52 ndani ya "Leo Tupo Hapa Pub"

kaka yangu hatumiagi banana na akisikia harufu yake anatapika mwaka mzima


halafu wewe Mtambuzi kwanini unamsema mama yetu kuwa ni mwanywaji wa ndyofu? nasema nitakupeleka mahakamani ngoja nikachukue RB kwanini hebu omba msamaha haraka iwezekanavyo
hujui tu anatumia kisiri siri
 
Huyu jamaa hata sijui kaonyeshwa na nai hiki kiwanja maana aliponiambia nimkute hapo nilijua anatania kumbe keshafika kitamboo na ndovu kama 8 keshazipiga chini, hivi sasa anashushia na hii makitu

attachment.php


Copy to: Paloma, Madame B, ladyfurahia, Kipaji Halisi, Asprin, amu, Mentor, cacico, KakaKiiza, Teamo, Ruttashobolwa, Kaizer, Jiwe Linaloishi

Aaaaaaah Mtambuzi wengine hatujala banaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kijana umeshaonyeshwa namna ya kuvuka bara bara za strabag? Hatutaki kesi kesho ujue....
 
A-SIREEE baaaaaang!....

wanapiga maji wanaume hao ni balaa.....!

lakin waulize 'walimu wao' ni kina nan ndo utaelewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom