Oh Mama! ErickB52 ndani ya "Leo Tupo Hapa Pub"

Oh Mama! ErickB52 ndani ya "Leo Tupo Hapa Pub"

A-SIREEE baaaaaang!....

wanapiga maji wanaume hao ni balaa.....!

lakin waulize 'walimu wao' ni kina nan ndo utaelewa

Hahahaaaa
Teamo kweli kuna waalimu wa hayo makitu
 
Last edited by a moderator:
mwalimu wao wa kwanza ni wewe kwani ndiye uiliyewafundisha huo unywaji
A-SIREEE baaaaaang!....

wanapiga maji wanaume hao ni balaa.....!

lakin waulize 'walimu wao' ni kina nan ndo utaelewa
 
rutta upo pande hizi nini!? nipo lunchtime hapa ila after nusu saa naenda zangu buguruni nikakamilishe ratiba ya "chairfire"

hahaha babav siko huko kabisa ntu wangu.
 
Last edited by a moderator:
watu wa ar wanakula ile mbaya
sijui ni shauri ya baridi au kazi ni nyingi sana sijui.

kwa hiyo umepona na kuibukia baa, looh.
pole sana.
 
Back
Top Bottom