technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Hahahaha
Dini na siasa kwenye jukwaa la Mwamposa.Kawaida sana 😂
Mbowe na Lisu kusuluhishwa Kanisani 🙏Dini na siasa kwenye jukwaa la Mwamposa.
Mahakamani imeshindikana?Mbowe na Lisu kusuluhishwa Kanisani 🙏
Manyumbu unafikiri Yana akili basi, yenyewe ni kukurupuka tu.Kwani shehe haruhusiwi kuwa na chama mbona gwajiboi ana picha akiwa na gwanda za ccm na gwanda za chadema
Kumbe wanaua watu ili nchi iwe salama. Eti bora ukatwe kichwa. Anataka kutuletea uja hidina wake. Hawa ndo wanataka nchi itawaliwe kwa sharia. Kuchinja wenzao kwa mgongo wa amani ni sawa.
😂😂 Yuko na ponjoro wa kinondoni.
Wauza Ngada😂😂 Yuko na ponjoro wa kinondoni.
Dooh wanainajisi sana dini kwa njaa na kujipendekeza kwa Watawala. Hivi hawajui kuwa gwaride huwa linageuka?