Nyumbu mamako Lissu alishasema aliyemleta Lowassa chadema ni Gwajima na slaaSawa nyumbu, Lete na ile ya kina lissu wakimsema lowassa kuwa ni fisadi kabla hawajamkaribisha chamani kugombea uraisi.
Haramuuuuu shkhKwani shehe haruhusiwi kuwa na chama mbona gwajiboi ana picha akiwa na gwanda za ccm na gwanda za chadema
Hapo sio tu dini imechanganywa na siasa bali dini moja imechanganywa na dini nyingine 😳Dooh wanainajisi sana dini kwa njaa na kujipendekeza kwa Watawala. Hivi hawajui kuwa gwaride huwa linageuka?
Gwajima kuzungumza ukweli Kanisani akaonekana anachanganya dini na Siasa
Huyu naye anafanya nini hapo Kanisani?
Mwogopeni Mungu Watawala pamoja na Viongozi mnaotumika kwa maslahi ya Watawala.
Kuna shehe kaingia na majini kanisani huku..Apostle Kuna muujiza huku
CCM ni zero brain
Atafika kwake, majini hayapo 😅😅Kuna shehe kaingia na majini kanisani huku..
Hata nyumbani kwa mufti huwa anavaa tshirt za ccm.Anaongea kama amekatwa kichwa.
Sasa pale jana aliongea kama shekhe au kama mwana ccm?Manyumbu unafikiri Yana akili basi, yenyewe ni kukurupuka tu.
Mbona ata CCM walimsema,na akarudi CCM akapokelewa kwa heshima na Magu akamsifia sana,kwamba mzee ni mzalendoSawa nyumbu, Lete na ile ya kina lissu wakimsema lowassa kuwa ni fisadi kabla hawajamkaribisha chamani kugombea uraisi.
Na kwa Kanisa la Mwamposa alikuwepo Samia na Masheikhe akisuluhishwa na nani?Mbowe na Lisu kusuluhishwa Kanisani 🙏
🤣 🤣 🤣 🔊Anaongea kama amekatwa kichwa.
Mungu ambariki sana sheikh wetu
🤣 🤣 🤣 🔊Kuna shehe kaingia na majini kanisani huku..
Acha mkatwe Vichwa mmoja mmojaShehe ubwabwa.
Unaongea km umekatwa KichwaMungu ambariki sana sheikh wetu