Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

Wanye akili zakungamua mafumbo tumekusoma mkuu. Hapa umewapiga wengi chenga ya mwili. Yaelekea wewe ni nguli wa mafumbo mkuu. Tumekuelewa hapa hata ukinaswa kwa makoso ya mtandao hata akim unampiga K.O
 
Umetisha, hl n fumbo, ukikurupuka unaingia shimoni. Agiza togwa mtoa mada, nakuja kulipa fasta.
 
Nikupongeze tu kwa fasihi yako nzuri. Nzuri sana kwa watakaoelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa umeniabisha nimecheka kwenye daladala hadi abiria wote wananishangaa
 
[emoji23] [emoji23] Imebidi nisome mara mbili ili nielewa hizi speaker!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tuendelee kula mtori, nyama tutazikuta chini........katiba ingekuwa kimya kuhusu sieiji saizi mtani wangu Msigwa angekuwa kwenye kiibodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…